Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Media haiwezi kujitangaza kwa kupigiwa simu na rais na TV haiwezi kudhoofishwa kwa kutopigiwa simu. Hizi ni mada za kutupotezea muda.
Wewe ni mtoto nimegundua... Kuna vitu vingi hujui au unajua ila unajitoa akili.....hebu fanya hivi siku rais akija kununua kitu au kupata huduma kwenye ofisi yako piga nae picha au weka kwenye vyombo vya habari... Utagundua wateja watako ongezeka...!! Ni elimu ndogo sana kulijua hili.
 
Ingekuwa Uganda,leo tungekuwa tunazungumza lugha nyingine kabisa...weka ndani uongozi wote wa Clouds.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga simu moja kwa moja (live) kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachomhoji mtayarishaji wa kipindi kilichorushwa jana cha Take one Zamaradi. Kipindi hicho kilimuonyesha maisha ya shoga almaarufu KANGE.
Mahojiano yaliyokemewa na Makonda haya

Watu mmejaliwa upotoshaji!! Makonda ameunga mkono mahojiano hayo na kuitaka jamii iungane kupinga hiyo tabia na akamshukru Zamaradi kwa kutoa elimu.
 
Hawa clouds wamezidi wanaelimisha jamii kwa kuutangaza ushoga kwanza watacmini in mtanzania gan ambaye anafurahishwa na hicho kitendo watu wanakaa chini waumiza vichwa kukemea wenyewe wanawapa mashoga kiki ili wajulikane kwamba wapo na wanachokifanya kimeaalalishwa naomba clouds kutokana na hcho kitendo wawaomba radhi wananchi kwa huo upuuz wa mashoga
 
Kaeleza ukubwa wa tatizo na kama wazi nivyema kuwa karibu na watoto

Makonda kasema serikali watachukua hatua hasa katika kushauri na kuwa taka wanasaikolojia kusaidia kutoa ushauri kwani tatizo ni kubwa.
Kuna point kubwa sana ya kisaikolojia kaikosea kwenye kuandaa kipindi chake binafsi niliona tangazo lao mapema nikalinda Chanel baadae sikuangalia
Wataalamu wa kuandaa vipindi kama vyake huwa wanawaficha uso wahusika na kuwaweka kwenye muonekano ambao unahuzunisha na kudiscourage wengine kabisa wasifanye sio unamremba mtu na kumpa uwanja free ajiachie kisha unasema unazuia tatizo.
Kifupi yule mwathirika alipaswa kupewa nafasi ndogo sana ya kuongea na sehemu kubwa zaidi aongee na watalaamu na washauri wengine.
Upande wa Paul ametetea asubuhi katika namna ambayo sio sahihi wao wameishia kuwalaumu watu waliokosoa badala ya kuangalia walipokosea BBC Swahili hutangaza habari kama hizo Mara kadhaa na ukiangalia utaona kabisa content ina discourage sio kama zamaradi.
 
Si yeye ndye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Dar es salama, aanze kusambaratisha maeneo yaliyokithiri kwa ushoga mkoani kwake
 
Inabidi uwe PUNGUANI mwenye ujazo kiasi cha hii gesi ya Helium iliyogunduliwa kusapoti maojiano hayo.

Kipindi hicho sikukiona ila hiyo vd clp ndogo tu imenifanya niseme hivi.....

* kwanza in kutafuta kiki za kipuuzi.
*huyo dogo hajutii matendo ya kishoga.
*haiambii jamii kwamba anajutia kwa matendo hayo
*huyo dogo ni choka mbayaa na hiyo suruali tight ya chini alivishwa...anajua mwenyewe na nani ila hakutoka nayo kwake... Hivyo aliandaliwa kabisa kama celeb hapo studio ili atangaze uchafu.
*suruali hiyo imefanana na ya huyo mtangazaje...so walitaka wafanane.
*pozi lake ni la kifirauni na sio la kuonesha ktk TV....watoto wadogo huku mtaani wanaiga.
*NI UCHAFU MTUPU NA NI LAANA KUTETEA SHOW HIYO...
 
Paulo kachemka sana nadhani alipaswa kutulia zaidi kabla hajazungumza na nimeangalia kipindi baby kabaye alikuwa anampiga zamaradi maswali magumu ambayo yalianza kumshinda zamaradi baada ya simu akachange upepo.kifupi zamaradi anapaswa kujua kuwa vipindi kama vyake vinahitaji weledi mkubwa sana hasa pale anapoamua kuadress mambo mazito kama hayo alipaswa hata kuangalia wengine hufanyaje kusoma sana nje ya hapo aendelee kuhoji wasanii tu ndio saizi yake.
 
Kuna point kubwa sana ya kisaikolojia kaikosea kwenye kuandaa kipindi chake binafsi niliona tangazo lao mapema nikalinda Chanel baadae sikuangalia
Wataalamu wa kuandaa vipindi kama vyake huwa wanawaficha uso wahusika na kuwaweka kwenye muonekano ambao unahuzunisha na kudiscourage wengine kabisa wasifanye sio unamremba mtu na kumpa uwanja free ajiachie kisha unasema unazuia tatizo.
Kifupi yule mwathirika alipaswa kupewa nafasi ndogo sana ya kuongea na sehemu kubwa zaidi aongee na watalaamu na washauri wengine.
Upande wa Paul ametetea asubuhi katika namna ambayo sio sahihi wao wameishia kuwalaumu watu waliokosoa badala ya kuangalia walipokosea BBC Swahili hutangaza habari kama hizo Mara kadhaa na ukiangalia utaona kabisa content ina discourage sio kama zamaradi.
Safi sana mkuu nimekuelewa vizuri sana kuhusiana mawazo yako good idea.
 
Mbaya zaidi aliyetumika kuhamasisha ushoga Tanzania ni mke wa mkurugenzi wa Clouds, hapo hakuna hatua itakayochukuliwa na Makonda amepiga simu ili kuwabeba Clouds, angepiga simu TCRA
 
Back
Top Bottom