Ndugu,
Jana katika television moja ya hapa kwetu ijulikanayo kama clouds tv, ilirusha kipindi chenye maudhuhi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja (mashoga).Hoja yangu, katiba yetu na sheria hairuhusu hiloPia mila na desturi zetu haliruhusu hiloJamii yetu haijazoeshwa kuwa na vipindi vyenye mlengo wa kushoto kama hiki.
Najiuliza TCRA wako wapi? Waziri mwenye dhamana ndugu Nape atachukulia poa? Au kwa sababu ni washikaji watakausha?
NB: Hili jambo likifumbiwa macho jamii yetu itapata athari mbili;
1. Watoto wataona ni jambo la kawaida
2. Wapo watu na misimamo mikali hawatakubali hili liendelee sisi siyo kisiwa.
Watu wajue asili ya ndoa ni Mume na mke, fullstop.