Kitendo cha TV Clouds jana kuwa na kipindi maalumu ambacho kilikuwa kinazungumzia ushoga, na kumkaribisha shoga mmoja ambaye alipewa airtime ya saa nzima na kujifanyia promosheni na kuonyeshwa kote ambako station hiyo inafika, ni kinyume na maadili ya mtanzania.
Kitendo hicho cha kishenzi kinakwenda kinyume kabisa na utamaduni na heshima tuliyonayo kama watanzania, ambao tunalaani aina zote za ushoga. Ninatumaini vyombo vinavyohusika vitachukua hatua kali sana dhidi ya shoga huyo na wale wote waliomfanyia promo. Imagine vijana wengi, ambao ni wapenzi wa station hiyo wanaona picha gani?
Mimi bado ninayo maswali mengi sana juu ya utangazaji wa Clouds media, ambao kwa kiasi kikubwa umekuwa ukikiuka maadili ya tasnia ya utangazaji na unajiuliza kama ipo haja ya kuendelea kuwa na stations zinazochochea mmomonyoka wamadili kiasi hiki.
Huku nyuma vimewahi kusikika visa vya watangazaji kutukanana na hata kupigana wakati kipindi kinakwenda live.
NB: HATUA ZICHUKULIWE SASA DHIDI YAO, MAANA HATUJUI KESHO WATAKUJA NA NINI!