Binafsi sikuona Shida, nilipata muda nzuri wa kujifunza kuwa hawa jamaa wanahitaji msaada. kuna muda alisema kabisa hawezi kuacha ushoga ila akipata daktari(psychologist) may be anaweza akachukia ushoga na kuacha.
Kuna muda pia alisema Kama angekuwa na mtoto has a wa kiume basi angemlea, kumfuatilia na kuwa naye makini Sana NADHANI HAPO KATUFUNDISHA KITU NA KUASHIRIA KUWA KWAKE HAIKUWA HIVYO.
WATAnzania tusipende kulalamika na kukimbia matatizo, hiyo yamii ya watu IPO na wasagaji na machangu na mateja pia. Hizo jamii zina Shida kubwaaa zinapooneshwa hadharani na ishara kuwa tuwe na strategies za kuwasaidia na kuondoa tatizo na sio kuwalaani bila kuchukua hatua