Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Hii Tv ni janga kwa taifa. Angalia mambo wanayopromoti kwenye vikundi vya ushangiliaji kwenye hiyo inayoitwa ndondo cup. Mwanamme ana wake wawili wanaume wenzake.

Kijana mwamme mrembo (headsome boy) mtangazaji anaendesha kipindi cha bibi bomba. Ukitafakari ni kama wanamkakati maalum wa kupigia chapuo ushoga.
 
DSM uko ukumbi al- maarufu lango la jiji na sikia hapo ni hatari kwa hawa jamaa. Wako wengi mno na wanagombea wateja.


Tatizo tunaongea sana bila kufanya action... mashoga wapo wengi sana hapa Tanzania... ukienda kwenye maonesho ya taarabu utawakuta kibao.. sasa kama ni kweli ushoga unachukiwa basi fanyeni msako na muwamate wote... zamaradi ajaonesha kitu cha ajabu, nani ajui kama mashoga wapo? nani ajui kama mashoga wanapata wateja wao?
 
Tumeona magazeti yanafungiwa muda usihojulikana waziri husika huu ndio wakati Wa kufanya kazi yako hapa ata Mwenyezi Mungu atakuunga mkono wameonyesha kipindi kilichokiuka maadili yetu Tanzania
Unataka waziri atumbuliwe?

Bwana mkubwa amesha sema anavipenda na anafatilia vipindi vinavyorushwa na TV pendwa

Halafu leo TCRA wafungie TV,
Unategemea mkuu ataangalia channel ipi sasa...
 
asante kwa video. ila huu ni ukiukwaji mkubwa wa maadili. yaan tumchukue gaid aanze kujisifia hapo kwenye kipind na kudai hajutii kuua watu than tuje tuseme tunafundisha jamii kuacha ugaid kweli?
Exactly mkuu you have spoken sense
Thats what I was trying to think and reason here

Eti leo mnam interview jambazi anawaeleza jinsi anavyoua jinsi anavyovamia , anakopatia silaha na faida anayoipata halafu mwisho wa siku anakazia kabisa "SIWEZI KUACHA UJAMBAZI"
halafu useme eti kwa stile hiyo unaukemea ujambazi? Really? ?[emoji15] au unaufanyia marketing and advertisement. .
 
daah nilikuwa SIAMINI kama hawa WATU wapo DUUUH ! Ndio maana JUA kali saaana Mtaani .
 
Mimi naona ni wakati muafaka sasa vyama vya waandishi habari vikaweka sheria za kuadabishana wenyewe. Kuna waandishi wanawashushia wenzao heshima.
 
Utawezaje kuondoa ushoga kama haujajua unasababishwa na nini? nafikir kungekuwa na namna nyungine ya kuhojiana nao na sio public alafu zile findings zao ndio wazirushe hewani..
 
Pope says Catholic Church should apologize to gays
By Associated Press

June 27, 2016 | 9:37am


ABOARD THE PAPAL PLANE — Pope Francis says gays — and all the other people the church has marginalized, such as the poor and the exploited — deserve an apology.

Francis was asked Sunday en route home from Armenia if he agreed with one of his top advisers, German Cardinal Reinhard Marx, who told a conference in Dublin in the days after the deadly Orlando gay club attack that the church owes an apology to gays for having marginalized them.

Francis responded with a variation of his famous “Who am I to judge?” comment and a repetition of church teaching that gays must not be discriminated against but treated with respect.


He said some politicized behaviors of the homosexual community can be condemned for being “a bit offensive for others.” But he said: “Someone who has this condition, who has good will and is searching for God, who are we to judge?”

“We must accompany them,” Francis said.

“I think the church must not only apologize … to a gay person it offended, but we must apologize to the poor, to women who have been exploited, to children forced into labor, apologize for having blessed so many weapons” and for having failed to accompany families who faced divorces or experienced other problems.

Francis uttered his “Who am I to judge?” comment during his first airborne press conference in 2013, signaling a new era of acceptance and welcome for gays in the church. Francis followed up by meeting with gay and transgender faithful, and most significantly, by responding to claims that he met with anti-gay marriage campaigner Kim Davis during his US visit. He said the only personal meeting he held in Washington was with his gay former student and the student’s partner.

Despite such overtures, however, many gay Catholics are still waiting for progress after a two-year consultation of the church on family issues failed to chart concrete, new pastoral avenues for them.

The Vatican spokesman, the Rev. Federico Lombardi, told reporters after Francis’ press conference that the pope wasn’t referring to a medical “condition” when he spoke of gays, but rather a lifestyle situation.



recommendtrack
 
Wenyewe wanaita key population siku hizi ni kwa hisani ya watu wa ..., wameshafanya kazi kubwa kuhamasisha sasa hatua ibayofuata ni nyie kulumbana wenyewe.
 
Back
Top Bottom