Hakuwa na sababu ya kupiga simu huko..angempigia NAPE awajulishe TCRA wafanye kazi yao..Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga simu moja kwa moja (live) kwenye kipindi cha clouds 360 kinachomhoji mtayarishaji wa kipindi kilichorushwa jana cha Take one Zamarad. Kipindi hicho kilimuonyesha maisha shoga almaarufu KANGE.
Kasema nini juu ya hilo la kipindi?Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga simu moja kwa moja (live) kwenye kipindi cha clouds 360 kinachomhoji mtayarishaji wa kipindi kilichorushwa jana cha Take one Zamarad. Kipindi hicho kilimuonyesha maisha shoga almaarufu KANGE.
Ndugu, jana katika television moja ya hapa kwetu ijulikanayo kama clouds tv, ilirusha kipindi chenye maudhuhi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja (mashoga)
Hoja yangu, katiba yetu na sheria hairuhusu hilo
Pia mila na desturi zetu haliruhusu hilo
Jamii yetu haijazoeshwa kuwa na vipindi vyenye mlengo wa kushoto kama hiki.
Najiuliza tcra wako wapi, waziri mwenye dhamana ndugu Nape atachukulia poa? Au kwa sababu ni washikaji watakausha?
Nb... Hili jambo likifumbiwa macho jamii yetu itapata athali mbili, 1_watoto wataona ni jambo la kawaida
2-wapo watu na misimamo mikali hawatakubali hili liendelee sisi siyo kisiwa
Watu wajue asili ya ndoa ni Mume na mke, fullstop.
Mbwa akikuzoea saaana mwishoe utaingia nae msikitini. Clouds ni TV pendwa ya Mheshimiwa ila kwa sasa naona kuna jambo wanalitafuta. Kama kuonywa wameshaonywa sana na TCRA kuhusu hizo habari za ushoga lakini bado wameng'ang'ania kuzitangaza. Kama faini kulipa wameshazoea kuzilipa kwa ajili ya kutangaza ushoga. Ni wakati sasa wa TCRA kufikiria adhabu nyingine.Ukitaka busara angalia tbc, tbc2, itv
kabisa,it was kinda a promotion.Halafu shida nyingine ni kwamba wanasiasa hao hao wanaitumia ile TV kwa promo zao binafsi. inachanganya kwakweli
mkuu polepole usije jikwaa unajua ni nani ambaye anaipenda sana hiyo channel, shauri yakoNi kweli, huwezi kuwa na akili timamu kuangalia Clouds, ni ujinga mtupu.
hakuna ambaye atamsikia....publicityMmmh.. Kwanini asipige TCRA
Ungeandika kwa ukamilifu kile ambacho Makonda kazungumza.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga simu moja kwa moja (live) kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachomhoji mtayarishaji wa kipindi kilichorushwa jana cha Take one Zamaradi. Kipindi hicho kilimuonyesha maisha ya shoga almaarufu KANGE.