Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Kitu pkee ambacho jamii inapaswa kufahamu ni kwamba kuliko kujenga vyombo vya habari vya Tanzania vimechangia kwa sehemu kubwa kuharibu maadili ya jamii yetu bila kujali kelele nyingi kutoka kwa jamii
Hii ni kutokana na kuajili watu wengi wasio na weledi na kushindwa kuwasimamia.
 
Ulikuwa usiku mbaya sana kwangu. Nilichelewa kurudi jioni,nikawakuta watoto wanaangalia,ni kama walikuwa hawamwelewe huyo jamaa. Hivi siwezi kuitoa/kuifunga kabisa channel ambayo siitaki isionekane kwenye TV yangu? Clouds wanatuharibia vijana wetu, ovyo kabisa.
 
Inanishangaza kidogo viongozi waandamizi kupiga simu moja kwa moja kwny kituo binafsi cha TV.

Kwanza, wanakitangaza sana bila wao kujua, pili wangetuma tu wasaidizi wao kutekeleza maagizo yao.
Tatu, katika ushindani wa vyombo vya habari wanazidi kuizamisha ile TV ya taifa iliyokosa mvuto.
kama una biashara untangaza kwe kituo kinachoangaliwa na wengi.....na viongoz nao wanatk waonekane na wengi......hio TB*** ni kwa ajili ya mpira uwanja wa taifa na mikutano ya chama chao
 
Kwa sisi wa FTA ktk channels za Tz TBC inaongoza kwa udhaifu ktk upatikanaji wake.

Tz bado tuna kazi kubwa sana.

Uliza tena wanatumia mtandao gani wa simj kupiga wakati tuna TTCL yetu?
 
Mbaya zaidi aliyetumika kuhamasisha ushoga Tanzania ni mke wa mkurugenzi wa Clouds, hapo hakuna hatua itakayochukuliwa na Makonda amepiga simu ili kuwabeba Clouds, angepiga simu TCRA
Hongera kwa ujasiri.... Comment kama hizi WATANZANIA twaziogopa sasa.

Na uppuuzi wao wa cyber nonsense.
 
Ndugu,

Jana katika television moja ya hapa kwetu ijulikanayo kama clouds tv, ilirusha kipindi chenye maudhuhi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja (mashoga).Hoja yangu, katiba yetu na sheria hairuhusu hiloPia mila na desturi zetu haliruhusu hiloJamii yetu haijazoeshwa kuwa na vipindi vyenye mlengo wa kushoto kama hiki.

Najiuliza TCRA wako wapi? Waziri mwenye dhamana ndugu Nape atachukulia poa? Au kwa sababu ni washikaji watakausha?

NB: Hili jambo likifumbiwa macho jamii yetu itapata athari mbili;

1. Watoto wataona ni jambo la kawaida
2. Wapo watu na misimamo mikali hawatakubali hili liendelee sisi siyo kisiwa.

Watu wajue asili ya ndoa ni Mume na mke, fullstop.
Kwangu mimi ile ilikua elimu tosha ya kunikumbusha kuwaangalia watoto wangu kwa jicho La ukaribu, tatizo hatupendi ukweli tukifichuliwa vilivyofichwa tunasema wanatukana japokuwa kipindi hakikuvutia ila kilitoa funzo kwa wazazi,hasa wanaotengana na kuwaacha watoto njia panda Mwisho wa siku kilio
 
Funzo gani kwa mfano??
At least wangehoji mtu aliechana na vitendo vya ushoga! Hawakuongelea athari za ushoga wala matokeo yake!! Zaidi walideal na lifestyle za mashoga sasa hapo unajifunza nn??
 
Kama wewe unategemea media eti ndo zikukumbushe malezi.... Pole sana na ninaomba niseme tu umekua mzazi kwa bahati mbaya... Na watoto wako wana mengi ya kujutia.
 
Funzo gani kwa mfano??
At least wangehoji mtu aliechana na vitendo vya ushoga! Hawakuongelea athari za ushoga wala matokeo yake!! Zaidi walideal na lifestyle za mashoga sasa hapo unajifunza nn??
Ahsante........
 
A closet homosexual is what most gay haters are. They claim to finds disgust with homosexuality when in the open; but find the concept of two guys pounding each other hard in the a$$ attractive.

Word of the day: "Do not be a homophobic bigot"
 
Uuuuuhwiiiiiiiiiiii clouds sasa wamevuka mpaka. Watu tunavumilia eti uhuru wa kuhabarisha. Tv kazi yake kupromote ukora na kuwapa audience watu wenye maadili ya ovyo kwenye jamii. Tumeona malaya wakijitangaza clouds na sasa tunaona mashoga. tcra please take action. Wengine tumefunga watoto wetu wanaangalia clouds tv. tutaenda kuichoma na petrol..weeh ngoja tu.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga simu moja kwa moja (live) kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachomhoji mtayarishaji wa kipindi kilichorushwa jana cha Take one Zamaradi. Kipindi hicho kilimuonyesha maisha ya shoga almaarufu KANGE.
Mahojiano yaliyokemewa na Makonda haya

Mhhh tungoje sheria ya utangazaji ije iseme kuwa ni sawa au si sawa jmn.
 
choko.jpg
 
JANA NILIONA KIDOGO NIKAONDOA YAN WALINIKERA SANA! HIZI TV ZA MITAANI BANA!
 
Back
Top Bottom