Gut
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 2,852
- 3,404
Mtapona kichaa tu hamna namna.Sidhani kama picha hii aliyetaka kupiga ni Makonda.
Mtapona kichaa tu hamna namna.Sidhani kama picha hii aliyetaka kupiga ni Makonda.
Tushasema mara kadhaa kuhusu wanaoangalia hio chanel, mnachokilalamikia ni nini hio tv inawahusu watu wenye hizo fani
Pope Francis: Christians should apologize to gay people and ask for forgivenessHiki kipindi cha Zamaradi kifutwe.
Pope Francis: Christians should apologize to gay people and ask for forgivenessHao Clouds TV wakiachwa wawewanafanya mambo ya kumomonyoa maadili wataharibu nchi. Lazima wafuatiliwe, hatuwezi kufuga upuuzi wa namna hii unaachwa urushwe hewani. Lengo lao lilikuwa ni nini? Je! Ni kuhamasisha ushoga?
yasemekana ni wa kanda ya ziwahahahahaha hivi huyu shoga kwanza ni kabila gani?
Una uhakika gani kama sio MakondaSidhani kama picha hii aliyetaka kupiga ni Makonda.
Kasema ni msukumahahahahaha hivi huyu shoga kwanza ni kabila gani?
Ndugu samahani , huyu uliyemposti hapo na makonda sio shoga , ni mwanaume wa shoka. Namfahamu vizuri. Nimesoma nae miaka mingi. Chuo na o levelHuyu ndiyo makonda anayekemea ushoga au mwingine?
Maisha bila unafki hayaendi kweliView attachment 361133
Unapoona uhuni na kukosa aibu ndiyo sifa ya kuwa mtangazaji ktk kituo, hapo ujue huna kituo. Clouds! unajikuta sasa eti wana TV station. Lazima kuna ulegevu ktk vyombo vinavyosimamia maadili ya vyombo vya habari. Kuna watu wanaweka interests zao kuwa ni sehemu ya maisha yetu.Kile hakikuwa kipindi cha kujenga na kuelimisha bali kilitumika kumtangaza yule filauni,kipindi kingekuwa na maudhui mazuri endapo yule bwana angekuwa ameamua kuachana na hayo mambo sasa anawapa darasa wengine waache,na siyo kuelezea sijui anataka afanyiwe upandikizaji wa mimba,MAONI naona hiki kituo kingejipambanua kama kimeanza kupigania haki za mapenzi ya jinsia moja,Serikali kemeeni hili na muwachukulie hatua.
Dunia ya sasa hivi utandawazi umeenea hivyo kitendo cha kurusha kipindi kama kile clip zinaenea mitaani na zitawaathiri watu wengi zaidi tofauti na mawazo ya muandaaji na mtangazaji
Msukuma? Uwiiiiiiiiiiiiiiii bagosha dwashila lulu. Unyanda wiswe ng'wenuyu wajimilile mmapolu gang'hwani.Kasema ni msukuma
[emoji13] [emoji13]Msukuma? Uwiiiiiiiiiiiiiiii bagosha dwashila lulu. Unyanda wiswe ng'wenuyu wajimilile mmapolu gang'hwani.
chuo gani?Ndugu samahani , huyu uliyemposti hapo na makonda sio shoga , ni mwanaume wa shoka. Namfahamu vizuri. Nimesoma nae miaka mingi. Chuo na o level
Secondary nimesoma nae lwandai sec, ipo tanga, kwanzia form 1 mpaka six , then chuo ni tumaini..chuo gani?
maana nani nimesoma Jaye chuo na kila MTU alimjua shoga