Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Makonda apiga simu Clouds Tv 360 kukemea ushoga

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga simu moja kwa moja (live) kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachomhoji mtayarishaji wa kipindi kilichorushwa jana cha Take one Zamaradi. Kipindi hicho kilimuonyesha maisha ya shoga almaarufu KANGE.
Mahojiano yaliyokemewa na Makonda haya


ZAMARADI MTETEMA ALANIWE! UNATUHARIBIA WATOTO WETU KWA KUPROMOTI USHOGA....UJINGA HUU UFANYENI KIMYA KIMYA! RUGE UMEFILISIKA KIFIKRA..... WEWE KAMA NDIO KIONGOZI NA HUYU KICHECHE NI DEMU WAKO UNGEWEZA KUMSHAURI ATUPILIE MBALI UPUMBAVU HUU!!! Shubeshiiih
 
Pope says Catholic Church should apologize to gays
By Associated Press

June 27, 2016 | 9:37am


ABOARD THE PAPAL PLANE — Pope Francis says gays — and all the other people the church has marginalized, such as the poor and the exploited — deserve an apology.

Francis was asked Sunday en route home from Armenia if he agreed with one of his top advisers, German Cardinal Reinhard Marx, who told a conference in Dublin in the days after the deadly Orlando gay club attack that the church owes an apology to gays for having marginalized them.

Francis responded with a variation of his famous “Who am I to judge?” comment and a repetition of church teaching that gays must not be discriminated against but treated with respect.


He said some politicized behaviors of the homosexual community can be condemned for being “a bit offensive for others.” But he said: “Someone who has this condition, who has good will and is searching for God, who are we to judge?”

“We must accompany them,” Francis said.

“I think the church must not only apologize … to a gay person it offended, but we must apologize to the poor, to women who have been exploited, to children forced into labor, apologize for having blessed so many weapons” and for having failed to accompany families who faced divorces or experienced other problems.

Francis uttered his “Who am I to judge?” comment during his first airborne press conference in 2013, signaling a new era of acceptance and welcome for gays in the church. Francis followed up by meeting with gay and transgender faithful, and most significantly, by responding to claims that he met with anti-gay marriage campaigner Kim Davis during his US visit. He said the only personal meeting he held in Washington was with his gay former student and the student’s partner.

Despite such overtures, however, many gay Catholics are still waiting for progress after a two-year consultation of the church on family issues failed to chart concrete, new pastoral avenues for them.

The Vatican spokesman, the Rev. Federico Lombardi, told reporters after Francis’ press conference that the pope wasn’t referring to a medical “condition” when he spoke of gays, but rather a lifestyle situation.



recommendtrack
Kwa hiyo unashabikia.
 
Alipiga cm kuongeza kipindi kwa kuelezea ukubwa wa tatizo la ushoga
Vipina wachawi, majambazi, wabakaji, matapeli, waf..raji na wengineo waitwe KLAUZ TV wahojiwe ili kuelezea ukubwa wa tatizo?
 
Kwanini unasema mke wa Ruge anahamasisha ushoga?
Amelileta bwabwa studio na kuliruhusu lielezee mafanikio lilopata kwa kuwa bwabwa na kwamba linapendwa na midume ambayo ni waume za watu na eti linatamani kuzaa. Kauli kama hizi zinachochea na pung'a mengine kufurahia kazi zao na hata kuhamasisha ambao hawajaaza upung'a kuanza kwa vile watadhani ni shuguli nzuri kuongeza kipato. Clouds TV ifungiwe na TCRA
 
Kama wewe unategemea media eti ndo zikukumbushe malezi.... Pole sana na ninaomba niseme tu umekua mzazi kwa bahati mbaya... Na watoto wako wana mengi ya kujutia.
Hayo umesema wewe na wala sina sababu ya Kujibizana nawe ila jua Maisha ya binaadamu yanapokea mafunzo mapya kila siku na wala si ajabu Mzazi bora kuwa yule anayekubali kufunzwa kutokana na makosa ya wengine! Watch over ur basic Mkuu
 
Funzo gani kwa mfano??
At least wangehoji mtu aliechana na vitendo vya ushoga! Hawakuongelea athari za ushoga wala matokeo yake!! Zaidi walideal na lifestyle za mashoga sasa hapo unajifunza nn??
Nimejifunza kuwa mimi kama mama hata nikigombana na mwenzi wangu Malezi ya wanangu yabaki kwangu, maana Wanawake ndio hutenga Muda wa kuwaombea watoto wetu, kuwaangalia kwa jicho La karibu na hata kuweza kutambua tabia za awali za watoto wetu
 
mbona kwenye kampeni ya uchaguz wa hapa kazi tu walikuwako wengi tu! kwenye Ile team ilikuwa unaongozwa na bongo muvi
 
Nimejifunza kuwa mimi kama mama hata nikigombana na mwenzi wangu Malezi ya wanangu yabaki kwangu, maana Wanawake ndio hutenga Muda wa kuwaombea watoto wetu, kuwaangalia kwa jicho La karibu na hata kuweza kutambua tabia za awali za watoto wetu
Pia wazo zuri sana kuwaombea watoto lakini sio wakina mama bali pia wakina baba wanajukumu hilo swala la malezi ni vyema likahusisha wazazi wote.

Jambo la msingi hapa niumakini katika malezi ya watoto.
 
nakubariana na we...mkuu may be tbc1 na itv lakini hiyo kitu nyingine hapana
Hebu tujaribu kuangalia ukubwa wa tatizo haswa la ushoga na namna ya kufanya ilikusudi kusaidia kizazi chetu kutokuingia katika dibwi hili na tusiangalie chanel ambayo imetumika. Lenga maudhui hasa then useme tufanyeje.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amepiga simu moja kwa moja (live) kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachomhoji mtayarishaji wa kipindi kilichorushwa jana cha Take one Zamaradi. Kipindi hicho kilimuonyesha maisha ya shoga almaarufu KAOGE.
Mahojiano yaliyokemewa na Makonda haya


Ingekuwa kituo kingine angeagiza tcra wawafungie bora angekaa kimya huu ni unafiki mkubwaa
 
Tv pendwa ya magufuli hiyo na ccm kwa ujumla
Tusiangalie person issues au personal interest bali tujaribu kuangalia hasa source of that problem ilikusudi tuwaidie kundi la vijana linalopotea kwenye tatizo la ushoga aisee.
Ujue ukiangalia hii issue inaukubwa wake jamani tujadili namna ya kuwaidia hasa kwa upande wa kutafuta wana phycologist kuwaaaidia walioathirika na tatizo hili la ushaga lijekuwa kubwa zaidi.
 
#TCRA mmelala mbona hamfungii hicho kituo au mmewatuma.
 
Binafsi sikuona Shida, nilipata muda nzuri wa kujifunza kuwa hawa jamaa wanahitaji msaada. kuna muda alisema kabisa hawezi kuacha ushoga ila akipata daktari(psychologist) may be anaweza akachukia ushoga na kuacha.

Kuna muda pia alisema Kama angekuwa na mtoto has a wa kiume basi angemlea, kumfuatilia na kuwa naye makini Sana NADHANI HAPO KATUFUNDISHA KITU NA KUASHIRIA KUWA KWAKE HAIKUWA HIVYO.

WATAnzania tusipende kulalamika na kukimbia matatizo, hiyo yamii ya watu IPO na wasagaji na machangu na mateja pia. Hizo jamii zina Shida kubwaaa zinapooneshwa hadharani na ishara kuwa tuwe na strategies za kuwasaidia na kuondoa tatizo na sio kuwalaani bila kuchukua hatua
 
Back
Top Bottom