Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Mungu fundi
Mungu fundi
Mungu hajawahi shindwa
Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final
Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa
Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe
Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah
Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu
Nakama nimekuwa wazi kuwatakia mema berkane
Nami narudia haya dka kumi zimebaki
Kila la kheri berkane na sisi waarabu wa yanga tunasubiria kombe letu pale morroco pls
Godbless berkane
Godbless pyramid
All d best Mayelee
Sifa apewe mungu