makombe

The Makonde are an ethnic group in southeast Tanzania, northern Mozambique, and Kenya. The Makonde developed their culture on the Mueda Plateau in Mozambique. At present they live throughout Tanzania and Mozambique, and have a small presence in Kenya. The Makonde population in Tanzania was estimated in 2001 to be 1,140,000, and the 1997 census in Mozambique put the Makonde population in that country at 233,358, for an estimated total of 1,373,358. The ethnic group is roughly divided by the Ruvuma River; members of the group in Tanzania are referred to as the Makonde, and those in Mozambique as the Maconde. The two groups have developed separate languages over time but share a common origin and culture.In Kenya, a group of 300 Makonde people trekked from Kwale to Nairobi. The group was accompanied by human right activists and other human rights supportive stakeholders. They headed to the State House in Nairobi to persuade the President to push their recognition as Kenyan citizens. President Kenyatta gave them a warm welcome. After a well-prepared meal on Thursday 13 October 2016, the President ordered the relevant ministry to give the A-Makonde identity cards by December 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. Gordian Anduru

    Asec Wana makombe mawili ya Africa

    Asec Mimosas ya Ivory coast ilichukua caf champions league mwaka 1998 mwaka ambao pia Yanga ya TZ. Ilishiriki. Pia Asec walichukua super cup 1999 kombe linalotolana na mechi kati ya bingwa wa cafcl na kombe la washindi barani Africa Bado Niko chimbo hapa Tanganyika library natafuta idadi ya...
  2. Unasemeje

    Fiston Mayele, Aziz Ki, Clatous Chama: Samahani Yanga Chukueni Makombe Yote

    Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥 Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
  3. The Supreme Conqueror

    I Bet Msimu huu 2022/23 Yanga atakuwa Bingwa makombe yote 4

    Wakuu nimeona mpira wa Yanga hakika nawaambieni Yanga anaenda kubeba mataji yote 4 aliyoshiriki msimu huu.
  4. vibertz

    Sio mbaya wanasimba wenzangu kombe letu la kufa kiume ni kubwa kulikuwa makombe yote

    Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na hatuwadai viongozi hakika malengo yetu ya msimu tumefanikiwa. Tuna kombe la robo fainali, kombe la kufa...
  5. Zanzibar-ASP

    UTABIRI: Msimu huu wa 2022/23 Yanga na Man City, wote watabeba makombe matatu

    Kuna kila dalili za ubashiri kuwa, msimu huu wa 2022/23 timu ya Yanga ya Tanzania itafanikiwa kunyanyua makombe matatu (ligi kuu, Kombe la FA (Azam confederation) na Shirikisho CAF), na hali hiyo hiyo itatokea kwa timu ya Man City ya Uingereza ambayo nayo itabeba makombe matatu (Ligi kuu, Kombe...
  6. mugah di matheo

    Achana na propaganda haya ndio makombe ya simba/yanga

    Yanga Ligi kuu --28 Muungano--6 Kagame(cecafa)-5 Fa--6 Nyerere cup--3 Mapinduzi--2 Mtaani jembe--0 Tusker---2 Hadex--1 Cafcc---0 Cafcl--0 Ngao ya jamii--7 Banc ABE super8-0 Jumla--61 Simba Ligi kuu--22 Kagame--6 Nyerere cup--3 Mapinduzi--4 Muungano--5 Tusker---4 Hadex--1 Mtaani jembe--3...
  7. Venus Star

    Rekodi ya Simba miaka minne ya makombe

    Simba SC 🏆🏆🏆🏆 NGOJA NIWAKUMBUSHE MISIMU MINNE MFULULIZO YA MABINGWA WA VPL SIMBA SC: 👉 2017/2018 Ponti: 62 Goli za kufunga: 62 Goli za kufungwa: 15 Mfungaji bora:Okwi ⚽ 20 Bingwa: SIMBA 👉 2018/2019 Point: 93 Goli za kufunga:77 Goli za kufungwa: 15 Mfungaji bora: Kagere ⚽ 23 Bingwa...
  8. Gordian Anduru

    Kabati la makombe Simba SC

    Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo 1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua 2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan...
  9. C

    Chelsea ya Tuchel na kuchukua makombe ya klabu bingwa ulaya Back to Back nini maoni yako katika hili

    Chelsea hawakubahatisha kubeba ubingwa wa UEFA, kwa maana hiyo watabeba tena back to back, kiuhalisia ulaya nzima hakuna kocha world class wa kubattle na Tuchel kimbinu, hilo limedhihirika last season, sababu alifungwa na makocha wenye cv ndogo wasio na tictics yaan makocha wanaofundisha soka la...
Back
Top Bottom