INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,266
Hukuelewa kabisa!!!!!
inawezekana
Hukuelewa kabisa!!!!!
Hahahahaah naona aliona akimeza atakosa katripu ka ughaibuni.
Janja sana le proffeseri. Na ule upimaji wa ile makitu naskia daktari lazima aingize dole kwenye kinyeo..... sasa madaktari wa bongo walivyo na hasira za kukataliwa nyongeza ya mshahara unahisi kingetokea nini?
Hizo ni formalities za kinidhamu tu.
Sasa kung-fu, karate, na kuvunja vibao na vitofali vya mchanga ndo vitawaondoa ISIS?
Drone kazi yake ni kushambulia targets za adui bila wewe ku suffer human casualties. Ndege zinazorushwa na marubani zinaweza kutunguliwa au zinaweza ku malfuntion na kudondoka kwenye eneo la adui. Sasa nani anataka kufa?
Vita vya miaka ijayo kwa kiasi kikubwa vitakuwa vinapiganwa na mashine tu. Hiyo yote lengo ni kupunguza human casualties.
Ni ground troops gani ambazo huwa zinapigana ngumi, mateke, na kabali vitani? Nani anaenda vitani kupigana kwa mikono? Utakuwa mjinga kweli ukienda kwenye uwanja wa mapambano ya kivita kwa mikono mitupu huku mwenzio akiwa na mi high powered rifles, humvees, mizinga, vifaru, pamoja na air support.
Nimeangalia hii YouTube clip nikakumbuka maonyesho ya wale so called makomandoo wetu na zile show zao za kuvunja matofali na vibao.
Sijui hao wakwetu walienda kujifunza huko North Korea.
Watu wanapigana vita na ma drone wao bado wako na mentality ya kuvunja matofali.
Hata waliomvamia.Osama walitumia.latop.fuuuuuumbafu weye
Jamaa anasahau kwamba vita ya drones itaua raia wengi hata wasio walengwa, mara ngapi tumesikia drones zimeua watu wasio na hatia kule Pakistan.
Unless kama hakuna kuchambua hata kama adui ni mmoja kwenye group la watu drone inaachia kombora tu hapo sawa otherwise, vita haiwezi piganwa kwa kutumia drones tu.
Sasa wewe mtazamo wako ni upi?
Hayo mazoezi ni sawa au sio sawa?
Maana mara huku unaunga mkono mara kule unadai yanachekesha ...
Hueleweki ..!!
nilikuwa naongelea anayesema vita ya drones tu can do everything.
Yananichekesha lakini sometimes ina maana, ebu fikiri mfano mtu ametekwa then anapata chance ya ku escape hana any weapon, basi techniques hizo zinaweza msaidia.
The guy seems to think everything happens under normal circumstances!!Nyani ngabu nakuamini siku nyingi lakini unaniangusha kwa majibu haya. Physical exercise na combat ni muhimu kwa mwanajeshi yeyote hata daktari wa kijeshi au mpishi wa kijeshi. Kuna sehemu umeishiwa kila kitu,silaha,evacuation assistance au hata msaada wowote ule. Inabidi utumie mwili wako tu kujiokoa toka kwa maadui.Hata kama umetekwa na wataka kujiokoa. Combat technique huwa zinasaidia. Tusibishane tu mradi tukuze mjadala.
Sitaki kuingia sana kwenye huu mjadala lakini suala la Marekani kutotaka sana kupigana na Urusi ni vile maslahi yao yanakuwa hayajaguswa sana lakini uwezo inao. Na kitu kingine kutokana na ukweli kwamba Urusi nayo ina nguvu kubwa ya kijeshi kuanzisha military confrontation kunaweza kuwa na gharama kubwa sana kwa Marekani. Hata Urusi hana interest ya kupigana na Marekani kwa sababu zilezile. Kwa kifupi hawa wakipigana uwezekano wa Mmarekani kushinda ni mkubwa lakini je gharama yake ni kiasi gani?? Je ni vyema kushinda vita halafu mwishowe unapoteza nguvu yote na kuiruhusu China kuwa super power? Pili kuna nyuklia, kwa mfano labda Marekani inaweza kushinda kwa bahati Urusi waamue kukubali matoke lakini vpi wakiamua kutumia nyuklia? Ni kweli hata Marekani ana nyuklia lakini ni nani anataka Mutual Assured Destruction aka MADness!!!when the bear has never being touched by the so called American.
hata wao wanajua,bila urusi wangeinyanyasa sana dunia.
hao ndio wababe wa marekani na marekani inajua mziki huu ni mwingine kabisa.
juzi walipiga jalamba eti waipige Siria.
Putin aliwaambia hawezi kuruhusu Siria ishambuliwe na NATO. mwishowe mpaka leo Asad ni Rais lakini kwa mgongo wa Urusi.
hapa marekani huwa agusi kabisa.
likaibuka swala la Ukrain.
Putin akajimegea aridhi ya Kremea, wamarekani wakata kupata uungwaji mkono wa Ulaya waishambulie Urusi kwa kuiadabisha, kwa nini aliomba msaada Ulaya? anajua mziki wake si wa kupigwa na nchi moja eti marekani. Ujerumani na Italy wanajua mziki huu kuwa ni wa wakubwa, walitosa mmarekani, wakaamua bora tu waweke vikwazo.
Hao waasi waliosalia wa Ukrain kule Doneski, wamendelea kuitesa serikali ya Ukrain na wamekuwa wakiziangusha ndege hatari za kivita ya Ukrain na mwisho marekani wanaishia kuilaumu urusi kuwa inawapa silaha nzito waasi na wanashangaa kuona wanasilaha nzitonzito kumili majeshi ya Ukrain yanayoungwa mkono na marekani na NATO.
mpaka jana nimesikia mchana DW RADIO nilisikia wanailalamikia Urusi kuwa inatoa silaha nzito kwa waasi na wakawalaumu waasi kwa kugoma kusitisha mapigano maana majeshi ya serikali yameelewa.
jioni usiku BBC wakatoa habari tena zinazoilaumu Urusi kuwa imepeleka silaha na dhana nzito kwa waasi.
the bear ni noma sana.
asingekuwepo bear hapo sawa ningekubaliana na maelezo yako. labda ungesema ukiitoa Urusi hakuna taifa la kupambana na Marekani. kidogo hilo lingejedilika
Kwahiyo mazoezi hayo yana maana si ndio?
Nimeangalia hii YouTube clip nikakumbuka maonyesho ya wale so called makomandoo wetu na zile show zao za kuvunja matofali na vibao.
Sijui hao wakwetu walienda kujifunza huko North Korea.
Watu wanapigana vita na ma drone wao bado wako na mentality ya kuvunja matofali.
Ukizingatia wana hasira na kunyimwa madai yao, na mwenzao kufanyiziwa Mabwepande... Le Proffesseri angetiwa midole yenye kucha ndefu mpaka akome.
Hahahahahaah.... Mungu apitishe mbali haka kaugonjwa asee....
Proffesseri ameipata fresh wallah. Dole la mzungu si haba.
Mkuu Nyani @ngabu hiyo kitu huwa nina iangalia mara kadhaa kwa U-tube lakini huwa ninaona kama kuna vitu flani flani wana zidisha chumvi . Ichunguze kwa makini kuna vitu utagundua kama vina tia wasis wasi kama ni vya kweli.
any tabularasa will quickly go for this after having no point of argument.
tatizo watu mmekuwa wavivu sana wa kufatilia historia na taarifa. swala la wakorea kufa kwa njaa ni la zamani sana na ni kipindi cha nyuma sana wakati babu yake King Jon Un ndio akiwa kiongozi, King Jon Il wa kwanza ndo kulikuwa na mambo hayo.
(Reuters) - A famine in a key North Korean grain-growing region in 2012 may have killed thousands of people at the same time as the country was staging mass celebrations to commemorate the 100th anniversary of the birth of the state's founder, according to a news agency based in Japan.
sasa hizi taarifa za njaa sijui umezitoa wapi. kukudhirihirishia kuwa wewe ni muongo na hujui chochote niletee hapa taarifa na ushahidi kuwa korea kuna njaa kwa hivi karibuni.
In March 2011 a joint UN survey estimated that over six million vulnerable persons in North Korea urgently required international food assistance to avoid famine. As estimated food shortages reached more than one million metric tons, the World Food Programme called it the worst famine in a decade, and South Korea-based NGOs and media with informants inside North Korea reported hunger-related deaths. Causes include dismal harvests resulting from floods and an extremely harsh winter; economic mismanagement of a monetary devaluation scheme in November 2009 that wiped out many peoples' savings and heavily damaged informal food markets; and the government's blatantly discriminatory food policies that favor the military, government officials, and other loyal groups. North Korea's two largest food donors, the United States and South Korea, refused to provide food aid until North Korea apologizes for the sinking of the South Korean warship Cheonan and shelling of Yeonpyeong Island in 2010.
HALAFU KUDHIHIRISHA KUWA WEWE NI POYOYO KABISA.
mada hapa inaongelea uwezo wa kijeshi . nimekupa maelezo tena mafupi sana umekimbilia kwene njaa. hivi unajitambua?
kuna uhusiano gani kati ya dhana za vita na njaa?
wewe leta ushahidi wa uwezo wa jeshi na si kuleta utoto hapa.
hili la njaa utakosa tena ushahidi na mwisho uibue jingine.
kwa akili yakonimeona unawezakusema kuwa korea ya kasikazini haina teknolojia kisa raiswao ananyoa kiduku.
kifupi umejidhalilisha sana kwa mchano wako huu.
nilikuwa nakuheshimu sana kumbe ni mweupe hivi kichwani.
this statement itself is a tease. wapi nimefanya utani? wewe kweli ni balaa.
naamini huenda ikawa ni kweli kuwa Tanzania ndio inaongoza duniani kwa kuwa na wetu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiria na wewe utakuwa mmoja wao.
Hizo ni formalities za kinidhamu tu.
Sasa kung-fu, karate, na kuvunja vibao na vitofali vya mchanga ndo vitawaondoa ISIS?
Drone kazi yake ni kushambulia targets za adui bila wewe ku suffer human casualties. Ndege zinazorushwa na marubani zinaweza kutunguliwa au zinaweza ku malfuntion na kudondoka kwenye eneo la adui. Sasa nani anataka kufa?
Vita vya miaka ijayo kwa kiasi kikubwa vitakuwa vinapiganwa na mashine tu. Hiyo yote lengo ni kupunguza human casualties.
Ni ground troops gani ambazo huwa zinapigana ngumi, mateke, na kabali vitani? Nani anaenda vitani kupigana kwa mikono? Utakuwa mjinga kweli ukienda kwenye uwanja wa mapambano ya kivita kwa mikono mitupu huku mwenzio akiwa na mi high powered rifles, humvees, mizinga, vifaru, pamoja na air support.
Mkuu kwani kazi ya mwanajeshi ni kupigana vita tu?? Hayo mazoezi sanasana yanaongeza ukakamavu, hizo drones zingekuwa ndio kila kitu basi kusingekua na haja ya kwenda depo (mind you hata US, UK wanapelekwa depo kwa ukakamavu kwanza). hivi mkuu wanajeshi wakitekwa, wakanyang'anywa silaha unafikiri wanatumia njia gani nyingine kujiokoa wao kama wao??? Serial Killings zote duniani zinahusisha drones na makombora makubwa makubwa?? Mfano mdogo Kagame hao wabaya wake anauwaua kila kukicha anawaua kwa njia gani?? Au Mkuu sana ulitaka wanajeshi wetu waache kuvunja matofali pale uwanja wa taifa wapige makombora??? hahahaha though its not funny lakini njia rahisi ya kutuonyesha jeshi letu lina ukakamavu ni kwa kufanya hivyo vitu, other things vinaonyeshwa kwenye butter-field
Hahahahaah naona aliona akimeza atakosa katripu ka ughaibuni.
Janja sana le proffeseri. Na ule upimaji wa ile makitu naskia daktari lazima aingize dole kwenye kinyeo..... sasa madaktari wa bongo walivyo na hasira za kukataliwa nyongeza ya mshahara unahisi kingetokea nini?