kama wapi vile ilikomboa mateka naomba tujuzane,kuna boko haram tu hapo Nigeria watoto wakike wamemaliza miezi sita hizo drone hatukuziona,IS hawahapo bado mpaka sasa wana waenyesha leo watu wana opt kutuma ground troops wakiwaita military advisory,waandishi karibia watatu wamechinjwa kama kuku wakati drone zinaoperate je zilikosea tageti au IS wanatechnologia ya hali ya juu?? naweza kuwa na mawazo ya kizamani yenye mantiki na uwezo wakufikiria zaidi ya kufikirika,lakini wewe mwenye mentality za kisasa kwa uvivu wako wakufikiri unaamini kila unacho ambiwa bila ya kuwa na walau ushahidi wakubabia