Makomandoo wa North Korea

Makomandoo wa North Korea

America did not militarily lose the Vietnam war.

Do you understand what that means?


Direct U.S. military involvement ended on 15 August 1973 as a result of the Case–Church Amendment passed by the U.S. Congress.[41]

The capture (militarily)of Saigon by the North Vietnamese Army in April 1975 marked the end of the war, and North and South Vietnam were reunified the following year.

The war exacted a huge human cost in terms of fatalities (see Vietnam War casualties). Estimates of the number of Vietnamese service members and civilians killed vary from 800,000[42] to 3.1 million.[24][43][44] Some 200,000–300,000 Cambodians,[29][30][31] 20,000–200,000 Laotians,[45][46][47][48][49][50] and 58,220 U.S. service members also died in the conflict.[A 2]

Source wikipedia.

whatever the semantics, theUS was beaten, hands down in an unpopular war
 


Direct U.S. military involvement ended on 15 August 1973 as a result of the Case–Church Amendment passed by the U.S. Congress.[41]

The capture (militarily)of Saigon by the North Vietnamese Army in April 1975 marked the end of the war, and North and South Vietnam were reunified the following year.

The war exacted a huge human cost in terms of fatalities (see Vietnam War casualties). Estimates of the number of Vietnamese service members and civilians killed vary from 800,000[42] to 3.1 million.[24][43][44] Some 200,000–300,000 Cambodians,[29][30][31] 20,000–200,000 Laotians,[45][46][47][48][49][50] and 58,220 U.S. service members also died in the conflict.[A 2]

Source wikipedia.

whatever the semantics, theUS was beaten, hands down in an unpopular war

The US lost 50 thousand some odd service members.

The Vietnamese lost between 800,000 and 3.1 mil.

I repeat, America did not militarily lose that war.
 
The US lost 50 thousand some odd service members.

The Vietnamese lost between 800,000 and 3.1 mil.

I repeat, America did not militarily lose that war.

...interestin!, so it's all about the numbers,....but it's HUMAN LIVES!, people
 
....Cuzzo angu you seem like you're not a fan of pumping it!, unavopinga mkono...lol!

Hahaaaa Cuzzo...I can knuckle up real good.

Lakini ngumi kwenye vita? No bueno!
 
Hahaaaa Cuzzo...I can knuckle up real good.

Lakini ngumi kwenye vita? No bueno!

Well, you've been successful in spicing up kibaraza, lol!, ngumi na mateke zinanikumbusha 'picha' za Bruce Lee
 
Nimeangalia hii YouTube clip nikakumbuka maonyesho ya wale so called makomandoo wetu na zile show zao za kuvunja matofali na vibao.

Sijui hao wakwetu walienda kujifunza huko North Korea.

Watu wanapigana vita na ma drone wao bado wako na mentality ya kuvunja matofali.




US Navy Seal Team Six Trainings; hebu kaangalie na wao.
By the way, drones does not do everything.
 
Last edited by a moderator:
North Korea ana Silaha za Nyuklia, kwa vyovyote vile akielemewa anashusha mzigo! kwa hiyo siyo nchi ya kubeza kivile
 
Mkuu Nyani @ngabu hiyo kitu huwa nina iangalia mara kadhaa kwa U-tube lakini huwa ninaona kama kuna vitu flani flani wana zidisha chumvi . Ichunguze kwa makini kuna vitu utagundua kama vina tia wasis wasi kama ni vya kweli.
 
Last edited by a moderator:
Talking loud but saying nothing!

any tabularasa will quickly go for this after having no point of argument.

North Korea kuna watu wanakufa kwa njaa halafu unataka unishawishi kuwa ina jeshi la kisasa kuzidi South Korea?
tatizo watu mmekuwa wavivu sana wa kufatilia historia na taarifa. swala la wakorea kufa kwa njaa ni la zamani sana na ni kipindi cha nyuma sana wakati babu yake King Jon Un ndio akiwa kiongozi, King Jon Il wa kwanza ndo kulikuwa na mambo hayo.

sasa hizi taarifa za njaa sijui umezitoa wapi. kukudhirihirishia kuwa wewe ni muongo na hujui chochote niletee hapa taarifa na ushahidi kuwa korea kuna njaa kwa hivi karibuni.

msiwe wepesi wa kusukumwa na hisia.

HALAFU KUDHIHIRISHA KUWA WEWE NI POYOYO KABISA.

mada hapa inaongelea uwezo wa kijeshi . nimekupa maelezo tena mafupi sana umekimbilia kwene njaa. hivi unajitambua?

kuna uhusiano gani kati ya dhana za vita na njaa?

wewe leta ushahidi wa uwezo wa jeshi na si kuleta utoto hapa.

hili la njaa utakosa tena ushahidi na mwisho uibue jingine.

kwa akili yakonimeona unawezakusema kuwa korea ya kasikazini haina teknolojia kisa raiswao ananyoa kiduku.

kifupi umejidhalilisha sana kwa mchano wako huu.

nilikuwa nakuheshimu sana kumbe ni mweupe hivi kichwani.

You gotta be kidding me.
this statement itself is a tease. wapi nimefanya utani? wewe kweli ni balaa.

naamini huenda ikawa ni kweli kuwa Tanzania ndio inaongoza duniani kwa kuwa na wetu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiria na wewe utakuwa mmoja wao.
 
....na Rambo!, sterling anaua kijiji kizima peke yake halafu kwa mkono tu!, wa Korea wanaendeleza sanaa je!
Hahahahaha.......... Yani sterling anapigwa weeeee.... mwishoni ndo anafanya kweli. Kama wadosi kina Amita.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Marekani haijaji-commit kivile kuisambaratisha ISIS wewe.

Hakuna nchi wala kikundi kinachoweza kupambana na Marekani katika conventional warfare.

when the bear has never being touched by the so called American.

hata wao wanajua,bila urusi wangeinyanyasa sana dunia.

hao ndio wababe wa marekani na marekani inajua mziki huu ni mwingine kabisa.

juzi walipiga jalamba eti waipige Siria.

Putin aliwaambia hawezi kuruhusu Siria ishambuliwe na NATO. mwishowe mpaka leo Asad ni Rais lakini kwa mgongo wa Urusi.

hapa marekani huwa agusi kabisa.

likaibuka swala la Ukrain.

Putin akajimegea aridhi ya Kremea, wamarekani wakata kupata uungwaji mkono wa Ulaya waishambulie Urusi kwa kuiadabisha, kwa nini aliomba msaada Ulaya? anajua mziki wake si wa kupigwa na nchi moja eti marekani. Ujerumani na Italy wanajua mziki huu kuwa ni wa wakubwa, walitosa mmarekani, wakaamua bora tu waweke vikwazo.

Hao waasi waliosalia wa Ukrain kule Doneski, wamendelea kuitesa serikali ya Ukrain na wamekuwa wakiziangusha ndege hatari za kivita ya Ukrain na mwisho marekani wanaishia kuilaumu urusi kuwa inawapa silaha nzito waasi na wanashangaa kuona wanasilaha nzitonzito kumili majeshi ya Ukrain yanayoungwa mkono na marekani na NATO.

mpaka jana nimesikia mchana DW RADIO nilisikia wanailalamikia Urusi kuwa inatoa silaha nzito kwa waasi na wakawalaumu waasi kwa kugoma kusitisha mapigano maana majeshi ya serikali yameelewa.

jioni usiku BBC wakatoa habari tena zinazoilaumu Urusi kuwa imepeleka silaha na dhana nzito kwa waasi.


the bear ni noma sana.

asingekuwepo bear hapo sawa ningekubaliana na maelezo yako. labda ungesema ukiitoa Urusi hakuna taifa la kupambana na Marekani. kidogo hilo lingejedilika
 
Back
Top Bottom