mndelengwa
Member
- Nov 8, 2014
- 42
- 15
Karibu wodini mgonjwa mpendwa. Hutajuta kutibiwa na daktare bingwa.......
Haya ntakuja lazwa na mie unitibu dokta asprin!!
Karibu wodini mgonjwa mpendwa. Hutajuta kutibiwa na daktare bingwa.......
Nihakikishie utakuwa mgonjwa wangu wa kudumu uone ntakavyokupatia tiba mujarab.....Haya ntakuja lazwa na mie unitibu dokta asprin!!
Nihakikishie utakuwa mgonjwa wangu wa kudumu uone ntakavyokupatia tiba mujarab.....
Duuiu kitu simple hicho kina kushinda nn dogo soma understanding ya GS ukishindwa nipe email nikupe mazagaaa pia kuna CD unaweza icheck ningekuandikia hapaaa
Komredi,
Wakati ukiendelea kushangaa hayo bado hujastaajabu ya busha kwenda kutibiwa ughaibuni.
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Source: wewe mwenyewe.
Tezi dume a.k.a Busha.Mpwa bana
Unaleta shida hapa mjini kwa wazee wa tezi dume
Karibu wodini mgonjwa mpendwa. Hutajuta kutibiwa na daktare bingwa.......
Niko mbioni kugradyueti udaktare wa tezi jike..... kipimo sitatumia dole wallah..... Staki maswali!!Daktari bingwa wa bussha aka tezi dume
Niko mbioni kugradyueti udaktare wa tezi jike..... kipimo sitatumia dole wallah..... Staki maswali!!
HahahahahaahahaWelcome to my world mpwa
Natamani mama salma aumwe tezi jike wallah maana mpaka sasa specialist niko peke yangu
Sitaki maswali pia
Hahahahahaahaha
:clap2::mimba::tea::ban::flypig::flypig::flypig::hurt::hurt::closed_2:
Kugoogle siku hizi ni msamiati tu unaweza kutumia chochote unachotaka kugoogle hata bing ukipenda.mkuu hiyo google si inamilikiwa na wamerekani?!,hudhani kwamba keywords/links zenye taarifa husika zitaipendelea USA?!.nashauri atumie Yandex.
bro sijawa biased.
unaposema Marekani ina uwezekano mkubwa wa kushinda lazima uwe na sababu ambazo zinawapa nafasi kubwa.
mimi nilichofanya nikukuonyesha tu kuwa advantage hiyo haipo kwa sababu huwezi kutabiri hapa na sababu ni rahisi tu.
kuna muda wamarekani wanaipiku urusi kwa muda mfupi kwa jambo hata moja lakini warusi wana counter attack haraka sana, kuna muda urusi nayo inaipiku marekani na marekani inacounter attack haraka sana.
hiyo advantage unayoisema ya marekani mimi siioni.
na nilikupa tu historia fupi sana ya nani alikuwa anashindwa na ni wakati gani.
lakini historia inaonyesha marekani ndiye alishindwa mara nyingi kuliko yeye alivyoshinda.
na ukumbuke kwa muda mrefu marekani amekuwa akitumia mgongo wa NATO lakini Urusi ni Taifa moja tu linalopambana na mataifa lukuki na warusi wanaju salama yao Ni kuweka kwenye silaha.
Sir Eisten alisema"sifahamu vita ya tatu ya dunia itapigwanwa kwa kutumia silaha zipi, lakini nina uhakika vita ya nne ya dunia itapiganwa kwa kutumia fimbo na mawe"
tafakari sana huu usemi.
alafu kuhusu kujaribisha silaha kwenye vita za wengine.
haya mataifa huwa hayapeleki silaha zake hatari zaidi kwenye majaribio ya vita nyingine kwa sababu ya siri na ulinzi.
siri nyingi za siaha huwa zinakuja kusemwa baada ya muda mrefu kupita na wakati huo walishaenda level nyingine ya silaha.
HIVI UNAJUA KUNA SILAHA YA HALI YA HEWA.
hii silaha pia inasemakana mrusi inampa jeuri na huenda amefikia hatua nzuri ,lakini hata mmarekani amewahi kuifanyia utafiti silaha hii.
hii silaha japo inasemekana inawezakuzuiwa chini ya sheria za kuzuia silaha za maangamizi.
wanadai wanaweza kufanya volcano ilipuke sehemu yoyote na kusababisha mafuliko, ama kubadili hali ya hewa na kuleta vimbunga na kusababisha mafuliko makubwa.
yapo mengi sana lakini hawa jamaa si rahisi kusema nani atashidwa ama atashinda hiki ndicho nachojua mimi.
mathalani kuna watu wengi hawaelewe kuwa hata waanzilishi wa technolojia ya anga marekani baadae ikazaliwa NASA ni Warusi. na technolojia hii imeanzishwa na Ujerumani chini ya Hiltler na ikaenda Urusi na Urusi ndio wakaipeleka marekani.
na hata sasa marekani haina chombo cha kupeleka wanasayansi wake kwenye kituo cha utafiti kilichojengwa angani, kinajulikana kama Internationla Space Station(ISS) au International Space Center(ISC).
kwa sasa ili wafike huko hao marekani wanategemea chombo cha Urusi kiitwacho Soyuz lakini ni wangapi wanajua hili?
hiki ndicho chombo pekee kinachotumika sasa na mmarekani hana baada ya Space Challenger kustaafu baada ya kuzeeka.
hawa wanajuana izuri sana na wanaogopana kuliko sisi tunavyoweza kufikiria.
SIJAHARIRI MAANDISHI.
nina muda sana
sijawahi kukimbia mjadala toka nizaliwe na haitakuja kutokea katika maisha yangu.
na usifikiri uliyoyaeleza yako sahihi kunifanya nikimbie.
kuna mengi bado umeleta ya kushangaza na umezidi kuonyesha uwezo mdogo huku ukidhani umeandika mambo ya kunikimbiza. nitakujibu tu.
mimi huwa sipendi kukwepa hoja hata moja, na sipendi kujibu kwa ujumla jumla, na nilikuwa bussy kuandika kwa kuwa umetoa mlolongo wa mambo mengi na ninahitaji muda wa kuchambua na kutolea majibu kila hoja na kila sentensi.
huwa sikimbii bro na sijawahi kufanya hivyo.wewe tulia naja.
japo si sasa maana niko bussy.
Nimeangalia hii YouTube clip nikakumbuka maonyesho ya wale so called makomandoo wetu na zile show zao za kuvunja matofali na vibao.
Sijui hao wakwetu walienda kujifunza huko North Korea.
Watu wanapigana vita na ma drone wao bado wako na mentality ya kuvunja matofali.

Na Jim Kelly.