Makomandoo wa North Korea

Makomandoo wa North Korea

elmagnifico uko sawa kabisa mkuu. Hawa "wakatili" North Korea wakiomba mechi ya majaribio na South Korea, nadhani baada ya saa 1 tu, South Korea lazima wanyanyue mikono juu.
 
Last edited by a moderator:
Babu Asprin inawezekana professor alikimbia kutiwa vidole sehemu zile, huo ugonjwa wa busha hata Hospital ya Magomeni angetibiwa. Inawezekana aliogopa kufanyiwa hapa. Professor aliogopa wange mnanihino wakati amepitiwa na kale kausingizi cha kupigwa kisu.

dah bora kutiwa dole na mzungu kuliko mswahili
 
!
!
matofalu ya huku yamechakachuliwa mno.... kama vipi waseme tupeleke matofali ya kwetu tuone kama watavunja.
 
Madaktari wa kibongo wangempima siku mbili picha Zingesambaa mitandaoni.

kama walivyo sambasa picha za uchi za marehemu kanumba walipo kuwa wanamfanyia postmortem.yaani walijirekodi via camera phone na kusambasa video hovyo hovyo.abdala kichwa wazi wa kanumba anaonekana wazi wazi.madaktari wa bongo ni sheedah.
 
tunapoita self defense unakuwa unaelewa maanake????sio mdawaote drone itafanya kazi kawaulize navy seal kama hawafanyi haya mambo tusiwe haters tuu

Hizi stunts za kuvunja matofali ni propaganda tu.

Vita gani za hivi karibuni umeona hand to hand combat?

I'm not impressed one bit.
 
Drones haziwezi fanya kila kitu sawa na binamdamu ndiyo maana ISIS mashambulizi ya anga hayajafua dafu kwao ndiyo maana vinahitajika vikosi vya nchi kavu.

Sasa ground troops zinapigana kwa mikono na mateke?

I will take the Navy SEALS and Delta Force (with their hi-tech weapons, of course) over those NK propaganda pawns.
 
Ni wanyonge wao kweli, si unakumbuka The 1998 Sokcho submarine incident, wanajeshi 20 tu wa North Korea waliwahenyesha jeshi la S.Korea

Hivi kweli unadhani North Korea wanaweza kwenda head to head na jeshi la South Korea?

You gotta be kidding me.
 
Soma comment ya nliyemjibu hivyo utaelewa kwanini nimemjibu vile

Still, hizo stunts za kuvunja vibao ni propaganda tu za kuchotea watu akili.

Hand to hand combat kwenye vita vye kijeshi ni sawa na hakuna.

Au unataka kunambia hao so called makomandoo wa kibongo wanaovunja vibao miili yao ni bullet proof?

Hivi na wale Republican Guard wa Saddam waliishia wapi? Manake Wamarekani baada ya 'shock and awe' waliingia Baghdad kiulaini bila hata resistance ya maana.

Au wao hawakufunzwa kuvunja vitofali na vibao kwa mateke na ngumi?
 
Nilichokuwa najaribu kumwambia ni kuwa drones haziwezi fanya kila kitu, sikuwa naunga mkono kuhusu kuvunja mbao kwa mkono wala matofali kwa kichwa maana hata mimi mazoezi hayo uwa yananichekesha.
 
If you dont stand for something, you will fall for anything!!!!!!
 
Hahahahaah naona aliona akimeza atakosa katripu ka ughaibuni.

Janja sana le proffeseri. Na ule upimaji wa ile makitu naskia daktari lazima aingize dole kwenye kinyeo..... sasa madaktari wa bongo walivyo na hasira za kukataliwa nyongeza ya mshahara unahisi kingetokea nini?

Du!noma xana sina mbavu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hizi stunts za kuvunja matofali ni propaganda tu.

Vita gani za hivi karibuni umeona hand to hand combat?

I'm not impressed one bit.

nikikuuliza mguu pande mguu sawa,nyuma geuka huwa zinakazi gani unaweza kunipa majibu????hizo drone unazozungumzia mbona hazija fanikisha kuwaondoa IS,drone kazi yake nikushambulia ngome na ground front troops za adui tuu ili kukuwezesha wewe sasa kuweza kuwashambulia adui zako kwa urahisi kwa kukutumia pia ground troops yako,drone inasaidia nini katikati ya wajitoa muhanga???je tunapozungumzia special force tunakuwa tunaelewa kweli,snipers wanakazi gani wakati drone zipo???Nadhani bado haujafanikiwa kupinga na hoja yangu kuwa bado hand to hand combat kama unavyoita kuwa haina msaada katika vita vya kisasa au vya zama hizi
 
We hujui drones zinateka miji???!!!
Au hujui kuwa drones zinaweza kwenda front line??!!!
Yaani hujui drones zinaweza kwenda kukomboa mateka??!!

Acha mentality ya ki zamani!!!!

Watu hao walioendelea wangonga KRAV MAGA na JIU JITSU halafu wakwetu wanadhihakiwa!!!

kama wapi vile ilikomboa mateka naomba tujuzane,kuna boko haram tu hapo Nigeria watoto wakike wamemaliza miezi sita hizo drone hatukuziona,IS hawahapo bado mpaka sasa wana waenyesha leo watu wana opt kutuma ground troops wakiwaita military advisory,waandishi karibia watatu wamechinjwa kama kuku wakati drone zinaoperate je zilikosea tageti au IS wanatechnologia ya hali ya juu?? naweza kuwa na mawazo ya kizamani yenye mantiki na uwezo wakufikiria zaidi ya kufikirika,lakini wewe mwenye mentality za kisasa kwa uvivu wako wakufikiri unaamini kila unacho ambiwa bila ya kuwa na walau ushahidi wakubabia
 
nikikuuliza mguu pande mguu sawa,nyuma geuka huwa zinakazi gani unaweza kunipa majibu????

Hizo ni formalities za kinidhamu tu.

hizo drone unazozungumzia mbona hazija fanikisha kuwaondoa IS,

Sasa kung-fu, karate, na kuvunja vibao na vitofali vya mchanga ndo vitawaondoa ISIS?

drone kazi yake nikushambulia ngome na ground front troops za adui tuu ili kukuwezesha wewe sasa kuweza kuwashambulia adui zako kwa urahisi kwa kukutumia pia ground troops yako,drone inasaidia nini katikati ya wajitoa muhanga???

Drone kazi yake ni kushambulia targets za adui bila wewe ku suffer human casualties. Ndege zinazorushwa na marubani zinaweza kutunguliwa au zinaweza ku malfuntion na kudondoka kwenye eneo la adui. Sasa nani anataka kufa?

Vita vya miaka ijayo kwa kiasi kikubwa vitakuwa vinapiganwa na mashine tu. Hiyo yote lengo ni kupunguza human casualties.

je tunapozungumzia special force tunakuwa tunaelewa kweli,snipers wanakazi gani wakati drone zipo???Nadhani bado haujafanikiwa kupinga na hoja yangu kuwa bado hand to hand combat kama unavyoita kuwa haina msaada katika vita vya kisasa au vya zama hizi

Ni ground troops gani ambazo huwa zinapigana ngumi, mateke, na kabali vitani? Nani anaenda vitani kupigana kwa mikono? Utakuwa mjinga kweli ukienda kwenye uwanja wa mapambano ya kivita kwa mikono mitupu huku mwenzio akiwa na mi high powered rifles, humvees, mizinga, vifaru, pamoja na air support.
 
Kwa ambao hamfuatilii mambo,tuna uhusiano mzuri tu na North Korea. Juzi tu walikuja ku modify jet fighter zetu. Usilolijua litakusumbua!
 
Hizo ni formalities za kinidhamu tu.

Sasa kung-fu, karate, na kuvunja vibao na vitofali vya mchanga ndo vitawaondoa ISIS?

Drone kazi yake ni kushambulia targets za adui bila wewe ku suffer human casualties. Ndege zinazorushwa na marubani zinaweza kutunguliwa au zinaweza ku malfuntion na kudondoka kwenye eneo la adui. Sasa nani anataka kufa?

Vita vya miaka ijayo kwa kiasi kikubwa vitakuwa vinapiganwa na mashine tu. Hiyo yote lengo ni kupunguza human casualties.

Ni ground troops gani ambazo huwa zinapigana ngumi, mateke, na kabali vitani? Nani anaenda vitani kupigana kwa mikono? Utakuwa mjinga kweli ukienda kwenye uwanja wa mapambano ya kivita kwa mikono mitupu huku mwenzio akiwa na mi high powered rifles, humvees, mizinga, vifaru, pamoja na air support.

Nyani ngabu nakuamini siku nyingi lakini unaniangusha kwa majibu haya. Physical exercise na combat ni muhimu kwa mwanajeshi yeyote hata daktari wa kijeshi au mpishi wa kijeshi. Kuna sehemu umeishiwa kila kitu,silaha,evacuation assistance au hata msaada wowote ule. Inabidi utumie mwili wako tu kujiokoa toka kwa maadui.Hata kama umetekwa na wataka kujiokoa. Combat technique huwa zinasaidia. Tusibishane tu mradi tukuze mjadala.
 
Naona Mkuu unapinga kila kitu na hautaki tuelimishane.
Nitajie sehemu ambazo kupitia drones tuu na watu wakachukua ushindi wa mapigano.
Pia naomba nikufahamishe kuwa US ni taifa ambalo mda wote linatumia askari wake ktk mapambano, na wana Teknolojia ya hali ya juu sana. Je, mbona hawakufua dawa kwa Vietnam au Alshabaab ilhali wana kila aina ya siraha.
Kingine cha kujiuliza, US ni moja ya nchi ambazo ni fundi kwenye mambo ya Anga jeshini, sasa kwanini akitaka kuvamia sehemu ni lazima awachukue vibaraka wake kama UK na German n.k
Asikwambie mtu Mkuu, vita vya chini ndio vita ngumu kweli kweli na ndio vita inayotoa majibu, Israel pamoja na kupiga sana mabomu Gaza, mwisho wa siku waliingia kwa miguu Gaza..
 
Ni vita gani ambapo wanajeshi wamewahi kupigana ngumi na mateke?
 
Ground war inapiganwa kwa ngumi na mateke?
 
Back
Top Bottom