BadoNipo
Senior Member
- Jul 4, 2008
- 170
- 28
Kunakampuni moja hivi ya mambo ya ICT ambayo inamilikiwa na wadosi. mtu akiajiriwa pale hata kama mshahara wake ni 400,ooo kwa mwezi, wenyewe katika zile form za PPF wanaandika mshahara 100,000 ili kila mwezi mwajiri na mwajiriwa wanachangia elfu kumi kila mmoja. huu si utapeli jamani?
Huu pia ni ufisadi kwani hawamtendei haki mwajiriwa. hivi hao PPF kwa nini wanakikubali kitendo hivi?
Mnaionaje hii???
Huu pia ni ufisadi kwani hawamtendei haki mwajiriwa. hivi hao PPF kwa nini wanakikubali kitendo hivi?
Mnaionaje hii???