Makato ya PPF kwa Wafanyakazi.

BadoNipo

Senior Member
Jul 4, 2008
170
28
Kunakampuni moja hivi ya mambo ya ICT ambayo inamilikiwa na wadosi. mtu akiajiriwa pale hata kama mshahara wake ni 400,ooo kwa mwezi, wenyewe katika zile form za PPF wanaandika mshahara 100,000 ili kila mwezi mwajiri na mwajiriwa wanachangia elfu kumi kila mmoja. huu si utapeli jamani?

Huu pia ni ufisadi kwani hawamtendei haki mwajiriwa. hivi hao PPF kwa nini wanakikubali kitendo hivi?

Mnaionaje hii???
 
Kampuni Gani?iweke hapa..au niandikie kwenye PM na mimi nitaiandika
 
Kunakampuni moja hivi ya mambo ya ICT ambayo inamilikiwa na wadosi. mtu akiajiriwa pale hata kama mshahara wake ni 400,ooo kwa mwezi, wenyewe katika zile form za PPF wanaandika mshahara 100,000 ili kila mwezi mwajiri na mwajiriwa wanachangia elfu kumi kila mmoja. huu si utapeli jamani?

Huu pia ni ufisadi kwani hawamtendei haki mwajiriwa. hivi hao PPF kwa nini wanakikubali kitendo hivi?

Mnaionaje hii???

Bado nipo, hapa we talk openly, mwaga data zote mkuu.. make ni ufisadi mkubwa na pengine haushii hapo lazima unahusu hadi kodi zinapaswa kulipwa kihalali.
 
hizo form za PPF niliziona mwenyewe kwa macho yangu nikashangaa sana tena zilikuwa za watu zaidi ya 10 hivi. inawezekana hata kodi pia wanapeleka uongo.
 
hizo form za PPF niliziona mwenyewe kwa macho yangu nikashangaa sana tena zilikuwa za watu zaidi ya 10 hivi. inawezekana hata kodi pia wanapeleka uongo.
BAdo nipo nasubiri jina la kampuni
 
Kampuni ya mikopo ya nyumba yaanza nchini

Kampuni ya mikopo ya nyumba yaanza nchini

Kampuni ya kutoa mikopo ya Nyumba ya Tanzania Mortgage imezindua shughuli zake nchini huku ikiwataka wananchi kujitokeza kununua nyumba mahali kokote nchini huku wakilipia pole pole.
NAOMBA WANA JF MNIJULISHE HAWA WATU WANAPATIKANA WAPI KWA ADRESS NA SIMU NATANGULIZA SHUKRANI.
NISAIDIENI JAMANI
 
jina la kampuni nimeishakutumia kwenye PM

PM nimeipta,wewe una fanya kazi hapo?ila kampuni yenyewe ni Soft tech consultants Ltd.Hawa wahindi sh**** type.?

Naandika E-mail sasa hivi kwenda PPF.ila hawa siyo wako NSSF au?
 
PM nimeipta,wewe una fanya kazi hapo?ila kampuni yenyewe ni Soft tech consultants Ltd.Hawa wahindi sh**** type.?

Naandika E-mail sasa hivi kwenda PPF.ila hawa siyo wako NSSF au?

hawa wapo NSSF and PPF. nimewahi kufanyakazi hapo
 
Hivi wewe ni nani?maana huku nako unataka message kwenye PM.Wewe siyo mmoja wao wa hao maf........'
samahani malizia mwenyewe.

Kevo,

Mie ni miongoni mwao ambao ni wao,
Mie ni Mmoja wao ambao siyo wao,
Mie ndiye wao nisiyekuwapo walipo,

Hakika mie ndiyo usemavyo.Kunijua mimi hakutakusaidia chochote,jaribu kumfuatilia mkeo ili ujue huwa anakaa na watu wa aina gani,watu tunakata ishu wewe unaendeleza mambo ya kipuuzi.
 
Sorry I didnt mean all that.
My apologies if I rubbed you up the wrong way.
 
unajua hapa sio hiyo kampuni tu ni karibia waajiri wengi na hasa wadosi wanatabia hiyo hasa ukizingatia na ugumu wa kazi siku hizi hilo ni suala la kawaida kwao. Na mwajiriwa anakubali vinginevyo atafute kazi sehemu ingine. matokeo yake akiacha au kufukuzwa kazi anajikuta anaishi ktk maisha magumu hasa kutokana na mafao hafifu atakayopata.
 
HTML:
Kevo,

Mie ni miongoni mwao ambao ni wao,
Mie ni Mmoja wao ambao siyo wao,
Mie ndiye wao nisiyekuwapo walipo,

Hakika mie ndiyo usemavyo.Kunijua mimi hakutakusaidia chochote,jaribu kumfuatilia mkeo ili ujue huwa anakaa na watu wa aina gani,watu tunakata ishu wewe unaendeleza mambo ya kipuuzi.
Nadahni picha yako inatosha kumuambia Kevo wewe ni nani
 
wala sio wadosi tu, wajasiriamali 80% tanzania hawafuati sheria zote za kodi, hii iko wazi.
Kama anapeleka ppf/nssf, basi anabana pengine. Ni utaalam ambao unajulikana wazi na hao watu wa tra na hizo social security funds.

ina kwa upande wa nssf, kwa sababu inafanana na upatu, au saccos, mwajiriwa akubaliwe kuwekeza kwenye sehemu anayoitaka anayojua mafao yake ndiyo anayoyahitaji. Hii italeta changamoto kwa nssf ambao kwa kweli hatuoni manufaa yake. Wakati urasimu wao ni wa hali ya juu.
 
I never knew abou this jamani...soma JF ujionee mambo mwenyewe.
Softech...world wide wanafahamika kuwa ni nguli katika ICT leo hii.
Program wanatengeza wenyewe...harafu hawataki kuchangia matengenezo
yake?Uffs
 
Kunakampuni moja hivi ya mambo ya ICT ambayo inamilikiwa na wadosi. mtu akiajiriwa pale hata kama mshahara wake ni 400,ooo kwa mwezi, wenyewe katika zile form za PPF wanaandika mshahara 100,000 ili kila mwezi mwajiri na mwajiriwa wanachangia elfu kumi kila mmoja. huu si utapeli jamani?

Huu pia ni ufisadi kwani hawamtendei haki mwajiriwa. hivi hao PPF kwa nini wanakikubali kitendo hivi?

Mnaionaje hii???

Haya mambo yapo siku nyingi kwani hawa wadosi kwao kulikucha siku nyingi sana walipokuja hapa wakakuta bado tunalala wakaanzisha mbinu zao sasa kumekucha tunashangaa wakati wao sasa wanataka kwenda zao Canada.

Hata pale Africarriers Ltd walikuwa na tabia ya kuingiza magari toka bandarini nyakati za usiku ili kukwepa ushuru na dili hili walikuwa wakishirikiana na wafanyakazi wa TRA mimi nilipoona vile nilikwenda kutoa taarifa sehemu fulani wakaacha mtindo huo.
 
Wadosi kwa undanganyifu ndo wenyewe. na kwakutoka kitu kidogo tu wanaongoza. ukute tayari wana mtu wao huko PPF ambaye wanamtumia kufanya udanganyifu huo.
 
PPF PPF ???????
Jamani wadanganyika mimi naomba kujua hivi unawezaje kujua una balance kiasi gani pale PPF???????
Mimi nafanya kazi UDSM ninakatwa hela ya PPF kila mwezi.
niliwahi kufuatilia kipindi fulani pale viwanja vya sabasaba wakaniambia kuwa ni kazi rahisi sana kujua kiasi nilichonacho huko PPF ni ku log in kwenye website yao kutumia username (jina na namba zilizokwenye kadi yao) na kuna link ya kuangalia kiasi chako.
Nilijaribu hivyo nikashindwa nimekuwa nikiulizia bila mafanikio naomba wanaojua wanisaidie kwani ni vizuri kujua haki yangu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom