Tusiishie kuwalaumu wadosi, bali ni mfumo mzima wa maisha. Kuna mapungufu mengi sana katika hii mifuko ya jamii kuanzia kwenye uduni wa mafao mpaka upatikanaji wake mara mtu anapostaafu kazi ama kuacha kazi.
Mfano PPF kuna kipindi walikuwa wakidai kwamba mtu akiacha kazi kabla ya retirement age basi hawezi kupewa mafao yake mpaka afikishe age fulani kwa kuwa wana amini kwamba anaweza kupata ajira sehemu nyingine na hivyo kuendelea kuchangia.
Tatizo investments zao nyingi ni za kifisadi na haziko productive na hivyo wanashindwa kukidhi mahitaji ya madai ya wafanyakazi na wakifanya hivyo wanaweza kujikuta wanachemsha wakati walishazifanyia kazi hizo hela za mfanyakazi.
Tatizo jingine waajiriwa hawana incentive ya kum-report mwajiri kwamba anabana makato yao. Watu wanaangalia leo leo, hawaangalii kesho. Kwa mchumi yeyote atakuambia it is much better mwajiriwa kujitunzia hifadhi yake kwa kuwekeza popote anapoona kwa kuwa returns za makato ya PPF/NSSF ni ndogo sana ukilinganisha na kama mtu angewekeza kwa kufanya vibiashara vyake vingine vidogo vidogo.
Nina uhakika kama kungekuwa na option ya watu kutochangia mfuko wa jamii basi wengi wange opt out kwa sababu mifuko yenyewe imajaa ubabaishaji na pia mafao yao ni duni, lakini ukiangalia ufisadi unaofanyika huko unaweza kubaki mdomo wazi na hizo hela zinazoliwa ni hizo hizo ambazo ni michango ya wanachama wake.