Barca waendelee kuzionea timu km ArsayNO kuwanyanganya wachezaji
OK [emoji678]Tuvute subira
Mashindano mengiAlivyotua Man City amekuwa nyanya mno. Halafu ajali za mara kwa mara
Nzuri kabisa shemeji, jumapili inasemajeNjema shemeji za huko kwenu
Asante kwa magazeti hny ubarikiweView attachment 515522Kwa udhamini mnono wa ALEX SANCHEZ nawatakieni jumapili njema
Asante kwa ratiba ya sokaTukutane baadae kwenye matokeo
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Wakuu habar ya saiv ??
panapo majaliwa nitai-drop story hivi punde
Sio ubinafsi, hatupendaniUbinafsi ndio unatugharimu
Kazi kwako afande shedede
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haina shida bro nipo jikoni kupika new segmentMpira wa maana ushaisha imebaki UEFA final tu
Hata AFCON U-17 nilishachana mayo tangu Serengeti Boys itolewe
Potezea mechi za ndondo
km vipi ibuka na segment mpya hadi Ligi zikianza au Pre season matches
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Asante kwa kutuonjesha shemela ubarikiwe[emoji120] [emoji120] [emoji120]Iyo story niutangulizi pia sehemu ya kwanza tukutane sehemu ya pili leo jioni
Chief executive director: mkinga
Supervisor:msukuma
Karibu[emoji9]
[emoji109] [emoji109]Pamoja mkuu
Kweli aiseeSiyo kwamba hakilipi
Kinanufaisha wafanyabiashara wakubwa na walanguzi wa mazao
Mfano wanaenda vijijini huko Kyela wanasomba cocoa au mpunga kwa bei chee kisha wanaenda kuviuzia viwanda kwa bei ya juu na hata kusafirisha nje ya nchi
Mkulima wa kijijini anabaki tu kuneemesha wafanyabiashara wakubwa
. ......
Jasiri haachi asili
Ni mule muleSio ubinafsi, hatupendani
Salama hbr ya jumapiliWakuu mmeamkaje
Asante kwa kuyapitia my swiAsante kwa magazeti hny ubarikiwe
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Leo jioni