shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
HBD Kylie1968 - Kylie Minogue anazaliwa.
Ni mwanamuziki na muigizajibwa movie kutoka nchini Australia.
HBD Kylie1968 - Kylie Minogue anazaliwa.
Ni mwanamuziki na muigizajibwa movie kutoka nchini Australia.
HBD John1994 - John Stones anazaliwa.
Beki wa kati wa Man City na timu ya taifa ya Uingereza.
RIP Malcom2014 - Malcom Glazer anafariki Dunia.
Alikuwa ni mfanyabiashara wa Kimarekani na Mmiliki wa Klabu ya Man Utd.
Asante musolini kwa leo katika historiaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Poa poa shededeWakuu habar ya saiv ??
panapo majaliwa nitai-drop story hivi punde
1993 - Nchi ya Eritrea na Jimbo la Monaco kwa pamoja wajiunga Umoja wa Mataifa.
1968 - Kylie Minogue anazaliwa.
Ni mwanamuziki na muigizajibwa movie kutoka nchini Australia.
ZABURI 54
Asante mama mchungaji nawe ubarikiwe
Marahaba za uzimaShikamoo mama mchungaji
VizuriNdio mkuu![]()
1991 - Alexandre Lacazette anazaliwa.
Straika wa Lyon na timu ya taifa ya Ufaransa.
![]()
Hitler japokuwa ni Mauaji lakini kashiriki kuijenga Ujerumani kuna mambo hadi leo wanafaidi matunda yake![]()
.
.
Huku bongo tulikuwa tunayaita Mgongo wa Chura na kueadhihaki wamiliki wake hata kama hatukuwa na kauwezp hata kununua baiskeli
Wabongo kwa dharau
.....

Ahsante mkuu Mussolin5Leo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Natumai utaifanyia kazi hiyo systemAsante kwa ushauri, tatizo ni system ya kupakua
KaribuWakuu habar ya saiv ??
panapo majaliwa nitai-drop story hivi punde
Wabongo tunapenda dharau sana![]()
Hitler japokuwa ni Mauaji lakini kashiriki kuijenga Ujerumani kuna mambo hadi leo wanafaidi matunda yake![]()
.
.
Huku bongo tulikuwa tunayaita Mgongo wa Chura na kueadhihaki wamiliki wake hata kama hatukuwa na kauwezp hata kununua baiskeli
Wabongo kwa dharau
.....
AmenZABURI 54
1.Ee Mungu kwa jina lako uniokoe,Na kwa uweza wako unifanyie hukumu.
2.Ee Mungu uyasikie maombi yangu ,uyasikilize maneno ya kinywa changu.
3.Kwa maana wageni wamenishambulia,watu watu watishao wananitafuta nafsi yangu,Hawakumweka Mungu mbele yao.
4.Tazama ,Mungu ndiye anayenisaidia,Mungu ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.
5.Atawarudishia adui zangu ubaya wao,uwaangamize kwa uaminifu wako.
6.Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu,Ee Bwana nita lishukuru jina lako maana ni jema.
7.Kwakuwa limeniikoa na kila taabu,Na jicho langu limeridhika kwa kuwatazama adui zangu.
MUWE NA JUMAPILI NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
![]()
![]()