Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Hongereni wana Arsenal kwa kutwaa F.A cup, asante kwa magazeti.View attachment 515522Kwa udhamini mnono wa ALEX SANCHEZ nawatakieni jumapili njema
Hongereni wana Arsenal kwa kutwaa F.A cup, asante kwa magazeti.View attachment 515522Kwa udhamini mnono wa ALEX SANCHEZ nawatakieni jumapili njema
Leo Katika Historia:
1937 - Kampuni ya magari ya Volkswagen ( VW )yaanzishwa.
Volkswagen ina maana ya Peoples' car ilianzishwa kwa msukumo kwa Kiongozi wa wakati huo wa Ujerumani, Adolf Hitler aliyeshinikiza yatengenezwe magari ya bei rahisi ili wananchi wake waweze kumiliki usafiri kila mmoja.
1948 - Daniel Francois Malan anachaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Afrika Kusini.
Baadae anaanzisha sera ya Ubaguzi wa rangi.
Asante mama mchungaji nawe ubarikiweAsante mkuu Shululu ubarikiwe
Asante kwa ushauri, tatizo ni system ya kupakuaShukrani mkuu kwa magazeti
Ushauri angalia usiwe unalirudia gazeti ya mara moja
Asante musoliniHongereni wana Arsenal kwa kutwaa F.A cup, asante kwa magazeti.
Una record yoyote ya mchezaji anayeongoza kufunga gori nyingi kwenye uwanja wa wembleyHongereni wana Arsenal kwa kutwaa F.A cup, asante kwa magazeti.
Ubaguzi hauwezi kuisha Dunia hii1948 - Daniel Francois Malan anachaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Afrika Kusini.
Baadae anaanzisha sera ya Ubaguzi wa rangi.
1964 - Chama cha Palestina Liberation Organization ( PLO ) chaanzishwa.