Makapuku Forum

Makapuku Forum

1cc6eb389103b5f205906d30ac293040.jpg
 
Kilimo cha kwenye makaratasi kinalipa ila cha shambani maumivu
Siyo kwamba hakilipi
Kinanufaisha wafanyabiashara wakubwa na walanguzi wa mazao
Mfano wanaenda vijijini huko Kyela wanasomba cocoa au mpunga kwa bei chee kisha wanaenda kuviuzia viwanda kwa bei ya juu na hata kusafirisha nje ya nchi
Mkulima wa kijijini anabaki tu kuneemesha wafanyabiashara wakubwa
. ......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom