Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
hahhhah sio mambo hayo shemelaKesho utamkana
hahhhah sio mambo hayo shemelaKesho utamkana
Uwe na amani sana tu,sisi binadamu..nimeona nisilale bila kukutakia AmaniAmani haiji bila kutafutwa shunie
WAFILIPI 4Asante mama mchungaji Mungu akubarikiZABURI 121
1.Nitayainua,macho yangu niitazame milima ,Msaada wangu utatoka wapi?
2.Msaada wangu u katika Bwana ,Aliyezifanya mbingu na nchi.
3.Asiuache mguu wako usogezwe,Asisinzie akulindaye
4.Naam,hatasinzia wala hatalala usingizi,yeye aliye mlinzi wa Israel.
5.BWANA ndiye mlinzi wako,BWANA ni uvuli mkono wako wa kuue.
6.Jua halitakupiga mchana,wala mwezi wakati wa usiku.
7.BWANA atakulinda na mabaya yote,Atakulinda nafsi yako.
8.BWANA atakulinda utokapo na uingiapo,Tangu sasa na hata milele.
TUOMBE
Asante Baba kwa ulinzi wako,toka asubuhi mpaka muda huu.
Tunaomba malaika walinzi wazunguke vitanda vyetu,tulaze salama na utuamshe salama tena kesho asubuhi.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa ,watie nguvu wajane na yatima nawakumbuke waluovunjika moyo kuwa lipo tumaini kwako.
Tunakuomba utufunike kwa damu takatifu inenayo mema.
Asante Baba kwakuwa utatenda sawa na mapenzi yako.
Tunaomba na kushukuru
Amen
USIKU MWEMA![]()
![]()
Mimi mweusiWewe ndio mkubwa nani mweupe
Amen Amen Ubarikiwe mkuu ShululuAsante mama mchungaji Mungu akubariki
Nawe pia usiku mwema

Unamponda tena binamu yako, je kama amesababishiwaObe bhinamu yuko chakaliii
Mda mwingine roho mtakatifu alimuongoza vyema mama mchuchu ...eti mpaka now bhinamu yuko kwenye shughuli ...huyu binamu wangu wa dar shida tupu
Niliwamiss pia...Poa Dada wa mie tulikumiss pande hii
Kwa mbalii nakuona umefikaNiambie mdogo wangu
Niambie shemela wangushemela
Sakayo mkumbushe tulikua nae wapi na akaniambia nimtaftie naniNimeuliza wapi hapo inapo uliza nilikuwa natania
Hawezi, au kuna shida umeiona mahali ni niniLee wangu lazima aharibu
Shemela unachoka na lee
Nzuri kabisa shemelano poa shemela za ww
hapana shemela mm sio mweusiKwa mujibu wa binamu ni wewe
HeheheeKwa mbalii nakuona umefika
Sasa kaka wengine utani hawapendi sawa kaka anguNilikuwa natania dada pale nilitaka nimsikie daby atasemaje
Nilikuambia uanzishe kampeni ukakataa![]()
sana shemela siku binamu obe akimpora mukongo nitafurahi sana