Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Nawe pia mkuuUsiku mwema makapuku
Nawe pia mkuuUsiku mwema makapuku
Za tangu asubuhiNambie mkuu
Nilikua nataka nikusalimie tuNiambie shemela wangu
Pole sana shemejiAsante mambo ya barabarani mkuu
Changamkia hiyo fursa mapemahapa kwenye ofa ya nywele tutumiwe picha tuchague
Kwa aganzaWapi hapo dada
ahahhHawezi, au kuna shida umeiona mahali ni nini
hhahaaaNilikuambia uanzishe kampeni ukakataa
Bado hajaelewa tuUliniambia nikutaftie nani
mimi na tumosa tunataka picha tuchagueChangamkia hiyo fursa mapema
Mpaka ww umeliaOooooh wakuu nilikuwa naenda bega kwa bega na empire season 3 ila episode ya leo imenitoa chozi ...ila jamaaa wanajua kupanga matukio ...

Nawe pia mkuuNiliwamiss pia...
Muwe na usiku mwema wote humu
Hospitali...nina wagonjwa ,mjukuu na binti,binti alilazwa,wanaendelea vizuri namshukuru Munguulikua wapi mama siku nzima yote

Jamaa yangu alipata shida kama hiyo, baadaye tulimsahau aisee, na yeye alichubuka tu, kumbe bandama ilipata tatizoSawa mkuu nimefanya niko fresh kabisa
Tayari nimekujibu dadaSakayo mkumbushe tulikua nae wapi na akaniambia nimtaftie nani
Sakayo za usikuNiambie mdogo wangu
Aaah sakayo karibu tulikumisi hukuHehehee
Nani huyo shemelaShemela kumbe na snitch wangu
Sawa ila angekuja nilikuwa na cha kumwambiaSasa kaka wengine utani hawapendi sawa kaka angu