Makapuku Forum

Makapuku Forum

3690e5b7599064e77ee6a1053d391e88.jpg
hahha
 
ZABURI 121

1.Nitayainua,macho yangu niitazame milima ,Msaada wangu utatoka wapi?

2.Msaada wangu u katika Bwana ,Aliyezifanya mbingu na nchi.

3.Asiuache mguu wako usogezwe,Asisinzie akulindaye

4.Naam,hatasinzia wala hatalala usingizi,yeye aliye mlinzi wa Israel.

5.BWANA ndiye mlinzi wako,BWANA ni uvuli mkono wako wa kuue.

6.Jua halitakupiga mchana,wala mwezi wakati wa usiku.

7.BWANA atakulinda na mabaya yote,Atakulinda nafsi yako.

8.BWANA atakulinda utokapo na uingiapo,Tangu sasa na hata milele.

TUOMBE
Asante Baba kwa ulinzi wako,toka asubuhi mpaka muda huu.
Tunaomba malaika walinzi wazunguke vitanda vyetu,tulaze salama na utuamshe salama tena kesho asubuhi.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa ,watie nguvu wajane na yatima nawakumbuke waluovunjika moyo kuwa lipo tumaini kwako.
Tunakuomba utufunike kwa damu takatifu inenayo mema.
Asante Baba kwakuwa utatenda sawa na mapenzi yako.
Tunaomba na kushukuru
Amen
USIKU MWEMA
 
2/Sarwan Singh
0e87c5de8b6a80f76c8f993a8b5271ec.jpg
f77b1c94262a14f85b24664c20243cc5.jpg
Huyu ni muhindi mwingine ambaye alipimwa midevu yake mwaka 2011 huko Canada na kuweka rekodi ya dunia nikiwa na urefu wa futi 8 na inch 2.5
Mwanzoni vipimo vilifanyika huko Rome ambapo Wataliano walimpunja na kudai zina urefu wa futi 7
Jamaa ni noma hata urefu wa kitanda haufui dafu
.......
Aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom