shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ila mpaka sasa hajakuelewaHapana shemela sio mambo hayo
Ila mpaka sasa hajakuelewaHapana shemela sio mambo hayo
Asante shemejiPole sana shemeji
Pole sana mama nilihisi tu utakua na kitu kimekutingaJamaa yangu alipata shida kama hiyo, baadaye tulimsahau aisee, na yeye alichubuka tu, kumbe bandama ilipata tatizo
haaahaNdio niwa mikumi![]()
![]()
![]()
Unapoteza fursa sasaNilikuwa natania dada pale nilitaka nimsikie daby atasemaje
Asante mkuu Lee ubarikiweAminaaaaaaaaaaaaaaa
wewe etiNani huyo shemela
sawaSawa ila angekuja nilikuwa na cha kumwambia
AmeshaelewaIla mpaka sasa hajakuelewa
AmenUwe na amani sana tu,sisi binadamu..nimeona nisilale bila kukutakia Amani
WAFILIPI 4
7.Na Amani ya Mungu ,ipitayo akili zote ,itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
Atume picha kesho uchagueKwa aganza
Nawe pia sakayoNiliwamiss pia...
Muwe na usiku mwema wote humu
Kabisa aisee shemelaShemela unachoka na lee
Sema naye tuSasa kaka wengine utani hawapendi sawa kaka angu
Asante shemelaNilikua nataka nikusalimie tu
hahahhhah ujue nishakua sugu na vituko vyake mwanzo nilikua naumia sana ila nimeshamzoeaKabisa aisee shemela
Mkuu mi nimepata Jana Leo nikawa nimewahi hospital kufanya checkup maana mi nimeumia mikono tuJamaa yangu alipata shida kama hiyo, baadaye tulimsahau aisee, na yeye alichubuka tu, kumbe bandama ilipata tatizo
Shemela unachofikilia tofauti ujueSema naye tu

Na mama mchungaji piamimi na tumosa tunataka picha tuchague