mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Mbona waguna... Ina maana hujaviona
Mbona waguna... Ina maana hujaviona
Anajua sana tatizo... Does that child really exist.Lee atakuwa hajui malezi
Nkrumah na Nyerere walishiriki vilivyo uanzishwaji huo pamoja na Marais wengine wa nchi kadhaa km vile Libya,Senegal,Ethiopia,Togo n.k![]()
Nyerere alienda kama rais wa Tanganyika ....Nchi zilizopata uhuru pekee ndo zulikuwa wanachama
.......
Nchi yake{Zaire) ilikidhi vigezo vya uwanachamaNamuona Mobutu Sesseseko kibaraka wa Mataifa makubwa nae alikuwepo.
Sijawahi kuisomaSoma tena Historia Umoja wa Afrika.
Kwa hio na Shunie yumo katika waliopewa hongera.Ongera man united ...ongera sana..england kuingiza timu tano uefa jambo jema ...ongera sana .
Nilichokiona kwenye mchezo huo kwa ufupii tu hawa Mabarobaro wa Ajax wanahitaji misimu miwili waweze kumalizia quality yao katika baadhi ya maeneo ili waweze kufika hatua waliyofika na kumalizia walichokishindwa dhide ya united. Nje ya uwanja Ajax wanaonekana wanaweza kucheza na kumaliza fainali dhide ya united, ila ndani ya uwanja Peter Bosz kashindwa kumuingia Jose Mourinho kichwani. Ajax walikuwa bora sana nyuma ya ule ukuta wa United na mpira wao.
Mourinho ni aina ya waalimu ambao hawasumbuliwi sana na falsafa ya kiholanzi yaani Toto football![]()
...... Amefanikiwa kupambana nayo mara kadhaa akiwa na Chelsea dhide ya fc Barcelona, lakini pia akiwa na Inter Milan na Real Madrid dhide ya fc Barcelona na sasa akiwa na United dhide ya mizizi ya falsafa hiyo Ajax.
![]()
Namna Mourinho alivyocheza dhide ya Ajax ni aina ya mbinu na falsafa zilizompa heshima...... Ni ngumu kuwachukia Ajax na falsafa yao, ila kilichowashinda ni mbinu za ku unloack mipango ya Mreno Tu..... Kumbuka Jose Mourinho ni aina ya waalimu ambao muda mwingi amekuwa akitumia mbinu zake kuanzia eneo la kiungo kurudi nyuma na kuwaacha washambuliaji wakitumia individual skills kuamua matokeo.
Ajax walishindwa kuwafikisha United mpaka katika ule muda ambao huwa wanashindwa kuelewa lakufanya dk 80, kosa la kwanza ni kuruhusu goli la mapema, approach ya dk 15 za mwanzo united walionekana kucheza kwa mipango kabla Ajax hajakaa sawa...... Lengo lilitimia baada ya kupata goli la kuongoza na kuanza mipango mipya. Aina ya goli walilokuwa wanalitaka ajax, ni aina ya magoli ambayo Jose Mourinho hajafungwa mda mrefu sana.....
Ubora wa Younes na traore uliishia nje ya box na mbele ya ukuta wa United..... Nadhani faida ya kuwa na veterani au mseto wa wachezaji wenye experience umeonekana kuwa na tija kwa Ajax. Ajax walikuwa bora zaidi wakati wanamiliki mpira miguuni mwao lakini walikosa mbinu mbadala za kupata au kuifungua beki ya United ili wafanye kile walichofundishwa darasani...... Moja ya vitu vinasumbua katika mtihani ni kukutana na swali ambalo hujafundishwa namna ya kulijibu/solve..... Ajax wamekutana na mbinu ambazo hawakufundishwa namna ya kuzifungua.
Ushindi ni kile unachokipigia hesabu kinapotimia ndio heshima ya hesabu..... Hapa Jose Mourinho kashinda yeye kama yeye lakini pia hesabu zake za plan B zimetimia. hongera special One najua ungefeli ningekuwa wa kwanza kukupa Pole.
Hongera Manchester united....... Hongera Jose Mourinho ule wimbo wa jumanne saa nne usiku najua utawahusu.......sema futuhi washakamilisha usajili mpya
Fans wote wa man u ongereniii
Imekuwaje Bitoz?Mpuuzi anayehangaika kila siku kuingia humu na kutokana na na kuongea upuuzi upuuzi na kujifanya yeye ndo mtu wa maana mkiwa mnamuignore kwa kutomjibu ndo roho itamuuma
Ni sawa na mtu kwenda sehemu watu walipomusanyika na kupigamayowe kama mbuzi halafu hajibiwi lazima ataumia moyoni
Nawaomba mjofunze kinyamazia watu wapuuzi wapuuzi
Sisi km watu tulioelimika na tuna maisha yetu
Hakuna haja ya majibizano wala kujionyesha
.
Pls ignore them
Ili wao ndo waonekane wajinga
................
Rafik kipenzKwa hio na Shunie yumo katika waliopewa hongera.
Habari ya uzima Mr leeRafik kipenz
Kama ni shabiki wa man double touch inamhusu ..apongezwe aachikee
Ha ha ha ha ha ha ha ha... Yeye ni Chelsea bwana usimwache.Rafik kipenz
Kama ni shabiki wa man double touch inamhusu ..apongezwe aachikee
Nzuriii mkuuHabari ya uzima Mr lee
Ha ha ha ha ha ha ha ha... Yeye ni Chelsea bwana usimwache.
namchora tuuPamoja kiongoziNzuriii mkuu
Dadii akee shikamooWakuu kumekucha salama ..tumshukuru aliye juu
UF...
![]()
Kweli simba wameamua
Inasikitisha sana kwa huyo mtoto
Mama mchuchu shikamooAmen
Shemela za wwMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa bitoz
Alhamis njema
hongereni sana mashabiki wa man uOngera man united ...ongera sana..england kuingiza timu tano uefa jambo jema ...ongera sana .