Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Pamoja mkuuMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa bitoz
Alhamis njema
Pamoja mkuuMpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa bitoz
Alhamis njema
ZABURI 71

Hebu badilisha hilo neno la katikati pengine nitakuelewa
Hakika asante sana ubarikiwe*Hekima ya leo
```Kile ambacho mwanaadam amekihifadhi moyoni mwake ipo siku atakizihirisha kwa watu```
""Basi yapasa watu wahifadhi yaliyo mema na Mazuri juu ya nduguzo; kwani huenda unaemuona mbaya na kumchukia akawa ndiyo mwema wako na mwenye mapenzi na wewe na huenda unaempenda ukamuona anakusamini na ndiye muovu wako, ufanye moyo wako uwe nadhana njema juu ya nduguzo ilikitapo dhihirika kilichopo moyoni mwako kiwe Ni chema juu yao;
_Na mwenye kutaka kukutana na mola wake akiwa Salama na mwenye kuriziwa na mola wake; Aongeze mizani yake kwakufanya yaliyo mema!
Asubuhi njema!

Morning dear ubarikiweMorning all!

Pole sana Mungu akutie nguvu na akupe wepesi,karibu sana sana ubarikiweBack again,wakuu mambo yanaendaje humu nilipotea kidogo kutokana na matatizo ya hapa na pale.

1961 - Apollo program: Rais wa Marekani John F. Kennedy anahutubia Congress na kuwaambia Mpango wa Serikali kupeleka binadamu wa kwanza Mwezini kabla ya kumalizika kwa Muongo.
1963 - Umoja wa Nchi huru za Afrika ( OAU ) waanzishwa huko Addis Ababa nchini Ethiopia.
1977 - Mfululizo wa Filamu ya Star Wars waanza kuonyeshwa kwa mara ya kwanza huko katika Theater.