Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Asante sana*Hekima ya leo
```Kile ambacho mwanaadam amekihifadhi moyoni mwake ipo siku atakizihirisha kwa watu```
""Basi yapasa watu wahifadhi yaliyo mema na Mazuri juu ya nduguzo; kwani huenda unaemuona mbaya na kumchukia akawa ndiyo mwema wako na mwenye mapenzi na wewe na huenda unaempenda ukamuona anakusamini na ndiye muovu wako, ufanye moyo wako uwe nadhana njema juu ya nduguzo ilikitapo dhihirika kilichopo moyoni mwako kiwe Ni chema juu yao;
_Na mwenye kutaka kukutana na mola wake akiwa Salama na mwenye kuriziwa na mola wake; Aongeze mizani yake kwakufanya yaliyo mema!
Asubuhi njema!
ZABURI 71
namchora tuu
