
YOSHUA 1
8.Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako,bali yatafakari maneno yake mchana hata usiku,upate kuangalia kutenda sawa sawa na maneno yaliyoandikwa humo,maana ndipo utakapoifanikisha njia yako,kisha ndipo utakapositawi sana
TUOMBE
BABA asante kutufikisha muda huu,sasa tunapumzisha miili hii,tulinde tuopoe mwa adui.
asante kwa uponyaji wagonjwa wote.
Tunaomba msamaha pale ambapo tumeenda kinyume,Tunaomba tupumzka sasa .
Asante kwa amani na mshikamano na upendo
Tusaidie tusimame katika kweli,kitabu chako kisitoke mikononi mwetu tupate kustawi na kuurithi ufalme wako.
Amen
MLALE SALAMA