Makapuku Forum

Makapuku Forum

1965 - Yahya Jammeh anazaliwa.

Kanali na Rais wa zamani wa Gambia.
8841e08cc3596219647af7aa28971c53.jpg
f7d6ad8ecea2a329f80145e28561fbed.jpg
Jamaa ni kinganganizi wa madaraka japokuwa alitawala muda mrefu hata baada ya kushindwa Uchaguzi alingangania aendelee kulala Ikulu hadi majeshi ya ECOWAS yalipoamua kwenda kumtoa kwa nguvu
Waafrika tuna shida
........
 
Mpuuzi anayehangaika kila siku kuingia humu na kutokana na na kuongea upuuzi upuuzi na kujifanya yeye ndo mtu wa maana mkiwa mnamuignore kwa kutomjibu ndo roho itamuuma

Ni sawa na mtu kwenda sehemu kila siku watu walipokusanyika na kupiga mayowe kama mbuzi halafu hajibiwi lazima ataumia moyoni
Nawaomba tujifunze kunyamazia watu wapuuzi wapuuzi
Sisi km watu wazima tulioelimika na tuna maisha yetu hakuna haja ya majibizano wala kujionyesha
.
Pls ignore them
Ili wao ndo waonekane wajingawajinga
................
 
Mpuuzi anayehangaika kila siku kuingia humu na kutokana na kujifanya yeye ndo mtu wa maana mkiwa mnamuignore kwa kutomjibu ndo roho itamuuma
Ni sawa na mtu kwenda sehemu watu walipomusanyika na kupigamayowe kama mbuzi halafu hajibiwi lazima ataumia moyoni
Nawaomba mjofunze kinyamazia watu wapuuzi wapuuzi
Sisi km watu tulioelimika na tuna maisha yetu
Hakuna haja ya majibizano wala kujionyesha
.
Pls do this
................
Fact
 
- Ni siku ya Watoto wanaopotea nchini Marekani.

Siku hii ilianzishwa na Rais Ronald Reagan baada ya kupotea kwa mtoto Etan Patz.

Mtoto Etan Patz , May 25 mwaka 1979 wakati anaenda kupanda basi la shule.

Hakuwahi kuonekana tena. Hivyo ile siku aliyopotea inaazimishwa kila mwaka.
d456d6dae098842042fda9d111616e09.jpg
cecdc721e0b1632a87f27f5df6ba9d75.jpg

Huku kwetu wanapotea watu wazima km Ben Saanane
.
.
.
.shukrani mkuu kwa historia
Nikutakie siku njema
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom