Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Somo zuri. Hakika jamaa walijipanga.
Kisha kikatengenezwa kituo maalumu kilichoitwa NASA's Kennedy Space Center
ambapo mnamo July 16 1969 safari ya kwanza kwenda mwezini ikazinduliwa ambapo Neil A. Armstrong,Michael Collins na Edwin Aldrin walipaa na chombo hicho kisha wakawa binadamu wa kwanza kufika mwezini![]()
........
