Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
kwani nipo moja kwa moja
kwani nipo moja kwa moja
Marhaba lee queen

Fresh tu na uvuvi wa kambale pale Lake MabiboMkuu bitoz unaendeleaje
Ni Captain Yahya Jammeh.
Asante mrembo shuniepole sana na karibu tena
Mungu mkubwa mkuu akujalie afya teleFresh tu na uvuvi wa kambale pale Lake Mabibo
...
Njema dada za majukumukaka za kwako
Tuna wafanyakazi wanaofanya hizo kazi.Muda gani watu mnafanya kazi nawauliza ,mbona muda wote mko humu ? Tufanye kazi tufanye kazi narudia tufanyekazi tena na tena tufanye kazi
Aiiiseeeehkwani nipo moja kwa moja
na kwako pia
Marahaba dear za uzimaMama mchuchu shikamoo
Bonge la mechi. Leo katika super sport 3 imerudiwa kukoleza maandalizi ya final kati ya Madrid na juve trh June 3.![]()
![]()
Ni moja kati ya fainali za kihistoria![]()
Mashabiki mbuzi wa Liverpool waliamua kuzima TV na kwenda kulala wakati wa half time
.......
Njema kakaHabari zenu humu ndani
Salama za hapo ulipoHabari ya wakati huu wanafamilia!
Kama Traore wa Ajax.Ni kweli me ni chelsea nipo kwa mkopo
Asante dada za uzimaNjema kaka
Nzuri EmmyguyHabari ya wakati huu wanafamilia!
BH mambo zako mchuchu? Tupe neno la mchana kama lipo.Njema kaka