sitaki tena nimestaafu hayo mambo jiongezeni wenyewe mbona mimi na lee hatujaunganishwa na mtuone & only shunii
Haswaaaa
Mama mchuchu kumbe we yanga
Kwnye kikoi
KhaaaaaAliyemtongoza mwenzake ni mukongo kila siku anajifunza neno humu akija mistari ya dini basi siku ya siku mama mchuchu akamquote mukongo kumwita baba mchuchu
ukumbuke kabla hajakubaliwa yeye na binamu ndio walikua wanamgombania wote
hivi hao tigo wamekukosea nini kwani na hiyo jazwa ujazweSema haki ya tigo niamini ??
AsanteTOP TEN
km mnavyojua leo huko Sweden kuna Fainali ya Europa league hivyo inabidi tumalizane mapema
.
Leo tuangalie mapacha kumi maarufu zaidi duniani
Mnakumbuka kuna siku tuliongelea mapacha walioungana ila leo tunaongelra mapacha wa kawaida
Karibuni
........
Lee weweKwanii wewe ndo ulitoa ya moyoni kwa mama mchuchu au ni ka msaada na wewe ukatelezaa??
Kweli kabisaNdo umejua
Wakoloni noma
Ndio maana kuna safu za Milima ya Livingstone huko Rungwe Tukuyu hadi Kyela ikiwa ni heshima kwa David Livingstone
........
Duh10/Ronald"Ronnie" & Reginald"Reggie" Kray
Hawa umaarufu wao umetokana na tabia yao ya wizi, Mauaji,ukabaji na kila sina ya upuuzi waliokuwa wakiufanya katika kitongoji cha East End London mahali walipokuwa wakiishi miaka ya 1950 na 1960'
Pamoja na uhalifu wao huo waliofanya kwa kificho waliweza kumiliki klabu ya usiku na hivyo kifahamiana na mastaa kibao
Mwaka 1968 walitiwa mbaroni na kutupwa jela maisha
.........
mama mchuchu shikamooKhaaaaa
Safi sanaMimi ndio zangu sema mazingira ya Dar hayaruhusu
Naendesha baiskeli kutoka Kyela mjini navuka mto Kiwira zen Kyela border kisha nazama Malawi kwa shemeji zangu
.......
HahahaaahahaMama werason
Sidhani kama imetolewa
Asante sanaPamoja sana wadau
Tukutane saa 12 kwenye 10 kubwa
Jioni njema
......
Ata mm sikuwah kuamini kama ni sio fiction9/Shawn & Aaron Ashmore Shawn alijipatia umaarufu kupitia X-men films wakati Aaron alionekana kwenye Warehouse 13 kisha wote wanacheza kwa pamoja muvi ya Smallville ambapo watu walishindwa kungamua kwamba ni watu wawili tofauti
.......
Duh!hapana aisee sihusiki kabisa mama mchuchu mwenyewe alitutambulisha mukongo ndio baba mchuchu