Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asubuhi njema makapuku wenzangu, Wagonjwa muendelee kupata nafuu hatimae mpone, wasio na pesa mola ashushe riziki asubuhi hii, mloachwa maumivu yaishe na hatimaye mpate mwenza sahihi asubuhi hii, wenye madili yenu yatiki asubuhi hii na mnaohisi mmemkosea mola mkatubu asubuhi hii, Amiin!
Amen asante[emoji120]
 
dbd4117b7e8d2113977f394db07d0259.jpg

Tujifunze kuzikabili changamoto za kimaisha bila kukurupuka
.......
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom