Makapuku Forum

Makapuku Forum

10/Ronald"Ronnie" & Reginald"Reggie" Kray
9e1d6fb6d17130d885085423061c3464.jpg
9e9e4359af5e318aabb9dd1303e76da6.jpg

Hawa umaarufu wao umetokana na tabia yao ya wizi, Mauaji,ukabaji na kila sina ya upuuzi waliokuwa wakiufanya katika kitongoji cha East End London mahali walipokuwa wakiishi miaka ya 1950 na 1960'
Pamoja na uhalifu wao huo waliofanya kwa kificho waliweza kumiliki klabu ya usiku na hivyo kifahamiana na mastaa kibao
Mwaka 1968 walitiwa mbaroni na kutupwa jela maisha
.........
 
TOP TEN
km mnavyojua leo huko Sweden kuna Fainali ya Europa league hivyo inabidi tumalizane mapema
.

Leo tuangalie mapacha kumi maarufu zaidi duniani
Mnakumbuka kuna siku tuliongelea mapacha walioungana ila leo tunaongelra mapacha wa kawaida
Karibuni
........
Asante
 
10/Ronald"Ronnie" & Reginald"Reggie" Kray
9e1d6fb6d17130d885085423061c3464.jpg
9e9e4359af5e318aabb9dd1303e76da6.jpg

Hawa umaarufu wao umetokana na tabia yao ya wizi, Mauaji,ukabaji na kila sina ya upuuzi waliokuwa wakiufanya katika kitongoji cha East End London mahali walipokuwa wakiishi miaka ya 1950 na 1960'
Pamoja na uhalifu wao huo waliofanya kwa kificho waliweza kumiliki klabu ya usiku na hivyo kifahamiana na mastaa kibao
Mwaka 1968 walitiwa mbaroni na kutupwa jela maisha
.........
Duh
 
9/Shawn & Aaron Ashmore
5ee6132a34dc5e28d47670201089e5e4.jpg
83d92135bea2d68809025d33eadea7ab.jpg
Shawn alijipatia umaarufu kupitia X-men films wakati Aaron alionekana kwenye Warehouse 13
1cd1eb31cb223ef8e5e0c9de061134b4.jpg
kisha wote wanacheza kwa pamoja muvi ya Smallville ambapo watu walishindwa kungamua kwamba ni watu wawili tofauti
.......
 
8/Charlie & Craig Reid
a5c4d382206791ae601fffc190074c20.jpg
027bdec83d7e307f8dc64cdc7066eeb0.jpg
Hawa walikuwa na bendi yao waliyoiita The Proclaimers ambayo waliianzisha mwaja 1983 wakiwa na miaka 19 tu
d219f166d534eeea82bc9e21c8f57c37.jpg

Walitikisa sana miaka ya 1980 na kibao chao cha I am Gonna Be (500 Miles}
.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom