Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Kwnye kikoiManeno eti sorry umeyakopi kwenye dela ??
Kwnye kikoiManeno eti sorry umeyakopi kwenye dela ??
Amani kwako mkuuHuhitaji kuwa MKAMILIFU kuwavutia wengine, watavutiwa na wewe kwa jinsi UNAVYOSHUGHULIKIA MAPUNGUFU yako!!!..
jioni ya amani na upendo iwe juu
KaPuku'S forum..!!..
We Lee rafiki yangu lakini mtata kwelikweli.Wapiii sasa jamaniii
Aiseeeh kama ustaarabu ungekuwa unauzwa sijui
Hapa kwenye daladala la kwenda mtakuja nimebahatika kupata siti ila kuna mrembo kasimama na mimi nilivo nundaz sijamuulumiaa eti akae
Ila navomchungulia naoa kwenye kwapa ana bonge na manyweleee
Sijui nimkumbushe ..ila mrembo kaumbika tatizo hilo tu
Ha ha ha ha ha ha ha ha haSema nakumbusha siku hizi mvumilivu anakula mbichi mbichiii
Sema haki ya tigo niamini ??Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha...
Lee nilikwambia una wasiwasi...
Mimi nishaamua siku... Wewe ni rafiki yangu.... Shunie shemeji yangu kwako...
Usiwe na hofu na mimi kabisa...
Tabia ya ufisi kusubiri mkono uanguke sinaga.
Kwelii kabisaa??Kwnye kikoi
Wa niniNataka kuonana na mods nimeambiwa wapo huku
Rafiki kipenziii utata upiii ??We Lee rafiki yangu lakini mtata kwelikweli.
Ha ha ha ha ha ha ha... Umeruka kiunzi sio.Simu yangu inatoa mlio nikipiga picha atanishtukiaa
Nimekaa karibu na dirisha naomba nikiyekaa nae ashuke njiani ili tuyajenge nimshauriiHa ha ha ha ha ha ha... Umeruka kiunzi sio.
Mi sipendagi tigo Wala situmii... Lakini we niamini tu.Sema haki ya tigo niamini ??
AiseeeeShamba kutamuu wewe ...unaopoaa demu kwa kumpa maembe tuu
Pamoja baloziiiTOP TEN
km mnavyojua leo huko Sweden kuna Fainali ya Europa league hivyo inabidi tumalizane mapema
.
Leo tuangalie mapacha kumi maarufu zaidi duniani
Mnakumbuka kuna siku tuliongelea mapacha walioungana ila leo tunaongelra mapacha wa kawaida
Karibuni
........
Potezea hilo puuziWa nini
Sasa rafiki yangu unachungulia kwapa za wapenzi wa wenyewe... Halafu unashare kwa jf. Ha ha ha ha haRafiki kipenziii utata upiii ??
hivyo hivyo siwezi uniache na mwanamke nikutaftie hivi moyo wangu ni chuma auUsinifanyiee hivoo
Asante kwa taarifa mkuuPotezea hilo puuzi
Linsfahamika humu ndio maana tunaliignore tu
Linakupotezea muda
.....
unajua mwenyewe ulichofanyaMm nimefanyajeee lakini