[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Jamaan [emoji134] [emoji134] mama mchuchu mwenyewe alitutambulisha kwa mukongo ulikua haupo
Yakifika TZ hayo sijui itakuaje[emoji23] [emoji23] [emoji23]End![]()
.........
Hahahaaaamalizia hizi mission kwanza harafu ustaafu
Shimba
Binamu yako Obe
Ipogo sorry kama nimekosea jina
Mndali
Mondray
Nyagei
na wengine wote kasoro mimi
I see,ndio maana ni kitu mhm sana kwa security,na huwa hazifanani kabisaa
Kweli?au sio wote,najiona naongezekaLooooooh
Umrnikumbusha theory za osmosis na diffusion kwa kutumia kiazi
Nilikumic[emoji8][emoji8]My love
Uko poa? wa ubavuni mwanguSafiiii
[emoji23][emoji23][emoji23]kweli afu nimewasalimu kimyaaNaona baby wangu kaja mmemchuniaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee majukumu siunajua tenahuyo baby wako akija anasalimia anasepa hata ukimjibu atarudi kesho kutwa yake
Waambie hao[emoji23][emoji23][emoji23]baby wanguKwahiyo ndio mumkaushie?!
[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Nahisi naongezeka
Hayo mawese vip[emoji15]Nilikuwa kuwa porinii
Ila now niko shamba nalima mawese
Mungu mwema anatupiganianamshukuru mungu mambo yako vizuri, sijui kwako
Sie wazimaNimewamiss sana wazima wapendwa wangu?mbarikiwe[emoji7] [emoji7]
Ni kweli.
Hahahahacuzoo shemela wangu nyagei nasikia anakupenda eti [emoji85] ebu mfikilie kwa niaba ya cuzoo wako