mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Wacha kumtia Shunie wivu bwanaNimekaa karibu na dirisha naomba nikiyekaa nae ashuke njiani ili tuyajenge nimshaurii
Wacha kumtia Shunie wivu bwanaNimekaa karibu na dirisha naomba nikiyekaa nae ashuke njiani ili tuyajenge nimshaurii
Mh toka lini tena haya ya kutakanaAnanitaka sana
hahhahhah wanaume wa darNyageii kishetiii yuko wapii
Wote wa dar
Anakutia pressure tu huyo Shunie... ...wewe ndo oxygen yakeAiseeee
Rafiki kipenziii naomba tumkaribishe balozi bitoz kwanzaSasa rafiki yangu unachungulia kwapa za wapenzi wa wenyewe... Halafu unashare kwa jf. Ha ha ha ha ha
unanifundisha tenaShunie mume wako unamwitaje mtu?
Nilichokwambia ndio hikonakusikiliza
yeye ndio kaniacha anajua mimi siwezi muacha
hapana aisee me sio mpuuziKwani mwenyewe ni miongoni mwetu
Wapuuzii tunajuana tuu
Hukumwelewa Shunie.. ...hakuwa na maana hio.Rafiki kipenziii naomba tumkaribishe balozi bitoz kwanza
Sina la kiada kwenye "upuuzi wa lee"
umekazania hiyo nyota yake imewaka acha iwake tu si ndio vizurihujaachika... Lee anataka kubembelezwa tu... Si Unajua nyota yake inawaka sasa hivi.
anajua sielewi kituhuyu shunii anaelewa sana ila anataka kuuza gazeti tu
Mbona sijatokaa nae ,,
Ata kutembea nae hakunaa ...nimemuachaa wapii

Alafu wewe najua unataka niseme simpendii ili umtongozeee
Sasa subiri mpaka jesus arud
kumbe umemsoma
udaku upiUdaku atauzaa
iwake vizuri tuInawaka tena kwa solar
hahhhah na we nunda kweli ebu mwambie akishuka akanyoeWapiii sasa jamaniii
Aiseeeh kama ustaarabu ungekuwa unauzwa sijui
Hapa kwenye daladala la kwenda mtakuja nimebahatika kupata siti ila kuna mrembo kasimama na mimi nilivo nundaz sijamuulumiaa eti akae
Ila navomchungulia naoa kwenye kwapa ana bonge na manyweleee
Sijui nimkumbushe ..ila mrembo kaumbika tatizo hilo tu
Ni kweliinaonekana si mvumilivu kwenye biashara
hahahh mke mweeh banaHata hujaachwa mamii usihaingeke na kusoma jiangalzie pcha