evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,774
VizuriTuko poa
VizuriTuko poa
Iwe nawe piaHuhitaji kuwa MKAMILIFU kuwavutia wengine, watavutiwa na wewe kwa jinsi UNAVYOSHUGHULIKIA MAPUNGUFU yako!!!..
jioni ya amani na upendo iwe juu
KaPuku'S forum..!!..
Sisi hatujaelewa hivyokwani hawezi kuniacha? ndio nimeshaachwa.
Wapiii sasa jamaniiisasa mbona anasema umemuacha
inaonekana si mvumilivu kwenye biasharaUdaku atauzaa
Sema nakumbusha siku hizi mvumilivu anakula mbichi mbichiiiUsijali... Manjonjo ya Lee tu hayo... Ana kitu anataka kuhakikisha
Hata hujaachwa mamii usihaingeke na kusoma jiangalzie pchaunashangaa nini hivi mm siwezi kuachwa eenh
Haswaaaamimi huyo
picha plzzWapiii sasa jamaniii
Aiseeeh kama ustaarabu ungekuwa unauzwa sijui
Hapa kwenye daladala la kwenda mtakuja nimebahatika kupata siti ila kuna mrembo kasimama na mimi nilivo nundaz sijamuulumiaa eti akae
Ila navomchungulia naoa kwenye kwapa ana bonge na manyweleee
Sijui nimkumbushe ..ila mrembo kaumbika tatizo hilo tu
Unaujua umbali kutoka Kyela mjini hadi Kyela border(Malawi)?
Kwa taarifa yako ni km kutoka Ubongo hadi Temeke tu tena hata huu umbali ni mrefu
Km kitu hujui uliza
Tena kwa basi nauli 1000/= tu
Au unadhani mpaka wa Tz na Malawi upo Moshi
![]()
![]()
![]()
............

Lee usimrushe roho dada etu....
This is what we know:Shunie&Lee

Chief kuwa mkweliiiiHapana![]()
![]()
![]()
huo mtandao nilishahama kwa mambo yao yakipumbavu ,hawawezi nivunjia heshima kiasi hichoo
Wacha uchochezi... Hakuna aliemwacha mwenzie
Maneno eti sorry umeyakopi kwenye dela ??Hata hujaachwa mamii usihaingeke na kusoma jiangalzie pcha
Simu yangu inatoa mlio nikipiga picha atanishtukiaapicha plzz
Alafu wewe najua unataka niseme simpendii ili umtongozeee
Sasa subiri mpaka jesus arud

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha...Alafu wewe najua unataka niseme simpendii ili umtongozeee
Sasa subiri mpaka jesus arud