Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi nataka kujua picha lilivoanzaa ...

Nani alimtongoza mwenzake

Mama nchuchu nimekosa neno mbadala sorry
Aliyemtongoza mwenzake ni mukongo kila siku anajifunza neno humu akija mistari ya dini basi siku ya siku mama mchuchu akamquote mukongo kumwita baba mchuchu

ukumbuke kabla hajakubaliwa yeye na binamu ndio walikua wanamgombania wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom