Makapuku Forum

Makapuku Forum

WORLD CUP U20
3e8ce4d65e546e9e9cccd2a72cdc8f8f.jpg

Msimamo ulivyo sasa wa kundi A&B
436843b150fdd6807a765571d389334d.jpg
Korea Republic na Venezuela wamefanikiwa kuvuka hatua ya makundi huku Argentina na Vanuatu wakisubiri kukamilisha tu mechi maana wameshindwa kuvuka hatua ya makundi.
Hongera zao
 
According to Waziri Mwijage
*Ukitafuna miwa 4 tayari una kiwanda cha sukari
*Ukiwa na majiko 4 una kiwanda cha kupikia
*Ukiwa na ng'ombe jike 4 una kiwanda cha Maziwa
*Ukijisaidia kinyesi kutwa X 4 una kiwanda cha mbolea
*Ukiwa na Kali 4 za kuchomea vitumbua tayari ni kiwanda cha vitumbua
*Ukiwa na sindano 4 una kiwanda cha nguo
*Ukiwa na vimada 4 tayari una kiwanda cha kufyatua watoto
*Ukiwa na watoto 4 wenye mabichwa makubwa yaliyojaa nywele tayari una kiwanda cha wigi
........
I see tunahitaji delivarance
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom