Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Mama umeshindaje?
Mama umeshindaje?
Amen mama mchungaji UbarikiweAsante mkuu Nyagei Asante kaka yangu Mndalimbarikiwe
Mkumbushe shemela labda amesahauKatiba ni ile ile tu
Unapotea kichakani kwako???Hili lilikuwaga chaka langu sema nilipotea![]()
![]()
![]()
hahahhh mm ndio cuzoo wakeUmemuona Shunie pekee???
Karibu sana
Tuko pamojaTOP TEN
Leo tuangalie wezi/vibaka au matukio 10 ya wizi maarufu yaliyowahi kutokea tena kwa mafanikio
Najua humu kuna mashabiki wa 'bwana yule' hivyo mimi naelezea kwa ufupi tu na ilitokea kuna tukio au mwizi aliyewahi kuelezewa na 'bwana yule' muelrwe tu ni kwa bahari mbaya na msianze kuleta maneno maneno
Hii ya leo ni ngumu kidogo
Karibuni
......
Alipitia Tanga to UngujaMuuLize vizr
Watu ni hatari9/2010 Credit Lyonnais Paris Burglars
Mwaka 2010 wezi waliotikuka walifanikiwa kuvunja na kuona kijanja katika Benki ya Mikopo ya Lyon iliyopo katikati ya jiji la Paris na kuiba viboksi vya kutunzia vito na pesa vyenye thamani ya mamilioni ya Euro pamoja na pesa taslimu.![]()
Walifaniliwa kuingia kupitia mbinu za kijanja na kuvuruga mifump yotee ya ulinzi ma hivyo kuiba kiulaini bila kushtukiwa
Pia mwaka 2011 genge hilo lilifanya kufuru nyingine
Hadi sasa umekosekana ushahidi wa kiwezesha kuwashtaki
........
Nami nipo as I told youhahahhh mm ndio cuzoo wake
Salama, captain habar ya wewe?Wakuu habar
Huyu ndiye kibaka8/Carl Gugasian![]()
![]()
Huyu ni kibaka maoni mwenye Shahada ya Uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Pennsylvania huko nchini Marekani ambaye akiamua kutumia usomi wake kufanikishia matukio ya kijambazi
Alipohitimu tu akaanza kuiba magari katika casino 8 tofauti na kuyatumia kwenye matukio yake ya kihalifu
Aliprmdelra zaidi kuiba kwenye mabemki na slifika dakika 5 kabla ya benki kufungwa na kutumia dk 3 tu kubeba mpunga na kusepa zake bila kukamatwa
.....