Makapuku Forum

 
Mimi ni mzima
Ninachoumwa hakinizuii kula,kunywa,kulala wala kuchat
Hivyo nipo OK ndo sababu sikusema hadi juzi wakati ni mwezi mmoja sasa
.........
Hakika kiri uzima kila wakati na Mungu atakupeleka hatua nyingine ya ushindi,si lazima kusema kila unachopitia ,wakati mngine Mungu anaruhusu majaribu ili uuone utukufu wake.
Nafurahia namna unavyochukulia changamoto,Mungu aendelee kukuimarisha.
tunakuombea.
 
hvi viwonder hatari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…