Amen.....Ahsante Mama.....ubarikiwe[emoji524] ZABURI 108
1.Ee MUNGU ,Moyo wangu u thabiti,Nitaimba ,nitaimba,nitaimba Zaburi,Naam kwa utukufu wangu
2.Amka ,kinanda na kinubi Nitaamka alfajiri.
3.Ee BWANA nitakushukuru kati ya watu,Nitakuimbia Zaburi kati ya mataifa
4.Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni,Na uaminifu wako hata mawinguni.
5.Ee MUNGU utukuzwe juu ya mbingu Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako.
TUOMBE
Tunakushukuru Baba wa Mbinguni kwa kutuamsha salama,wako wengi walitamani kuiona siku ya leo hawakuweza tunakurudishia sifa na shukurani Mfalme wa Amani.
Nakushukuru kwa kukuimbia kati ya mataifa maana fadhili zako ni kubwa
Ponya wagonjwa wote BABA ,Watie moyo waliovunjika moyo na wale wote wanaopitia changamoto mbalimbali kwa namna ya pekee tunamkabidhi kwako na tunamuombea mpendwa wetu BITOZ,mtie nguvu ,takasa dawa anazotumia takasa mahali anapolala,takasa madaktari na wote wanaomhudumia,Baba tunaomba uponyaji wake uwe wa haraka .
Tunawakabidhi yatima ,wajane,wahitaji baba watetee,wasipungukiwe.
Imarisha imani zetu ili tuweze kukitegemea wewe tu
Walinde wasafiri wote wafike salama ,nchi kavu,majini,angani
Tuma malaika wako wa yltuzunguke watuongoze tufanye kazi kwa bidii na kukupenda wewe tu
bariki kazi za mikono yetu,asante
Naikabidhi jumanne ya leo iwe ya kipekee, tembea pamoja nasi baba.
Tunaomba na kushukuru
Amen
NAWATAKIA SIKU NJEMA MUNGU AWABARIKI [emoji7] [emoji7]
Salama habar yako ? MrHabari za asubuhi..
Safi dingi mishe nini?Salama habar yako ? Mr
Safi ..Salama tu kijana Mondray
Habari ya uzima?
[emoji23] bonny n Clyde najua ni wimbo wa jay z ft Beyonce [emoji134] kumbe.....1934 - Majambazi wa benki Bonny and Clyde wanauwawa na FBI katika mapambano ya kurushiana risasi.
Majamnazi hao walitikisa sana ndani ya Marekani kwa kuvamia na kuiba katika Mabenki kipindi cha Mdororo wa Uchumi ( World Economic Depression. )
[emoji3]- Leo ni siku yaKimataifa ya kutunza Kobe duniani.
Thanks MussoLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Fresh adoado tunasonga kwa uwezo wa Mungu, sijui upande wakoSafi dingi mishe nini?
Senegal anaongoza kundi lake jana kampiga S. Arabia 2-0WORLD CUP U20
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Just Someone I used to Know..... binafsi naupenda 'Holding On To Nothing' na 'Dad was an old time preacher man'.
Siku moja nitakuja na gitaa la Porter Wagoner
Halafu ujue wewe ni uzao wangu kabisa, sema wewe tu hujajua😉 ( Shunie usibadili maneno hapa shangazi yangu wewe)
kaka za asubuhiMmeamkaje humu ndani
Mungu awaongoze katika mihangaiko yenu ya kujitafutia mkate wa kila siku
walikuwa na historia nzuri sana ya mapenzi hawa watu1934 - Majambazi wa benki Bonny and Clyde wanauwawa na FBI katika mapambano ya kurushiana risasi.
Majamnazi hao walitikisa sana ndani ya Marekani kwa kuvamia na kuiba katika Mabenki kipindi cha Mdororo wa Uchumi ( World Economic Depression. )
Mke mwee za kuamkaAsante umeamkaje
Shem wange ni nini shida mbona umepoteaNimerudi Jorowe
Mama mchuchu shikamoo mamaUpo mwanangu,ubarikiwe sana
Huku safi..Fresh adoado tunasonga kwa uwezo wa Mungu, sijui upande wako
Ameen [emoji120][emoji524] ZABURI 108
1.Ee MUNGU ,Moyo wangu u thabiti,Nitaimba ,nitaimba,nitaimba Zaburi,Naam kwa utukufu wangu
2.Amka ,kinanda na kinubi Nitaamka alfajiri.
3.Ee BWANA nitakushukuru kati ya watu,Nitakuimbia Zaburi kati ya mataifa
4.Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni,Na uaminifu wako hata mawinguni.
5.Ee MUNGU utukuzwe juu ya mbingu Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako.
TUOMBE
Tunakushukuru Baba wa Mbinguni kwa kutuamsha salama,wako wengi walitamani kuiona siku ya leo hawakuweza tunakurudishia sifa na shukurani Mfalme wa Amani.
Nakushukuru kwa kukuimbia kati ya mataifa maana fadhili zako ni kubwa
Ponya wagonjwa wote BABA ,Watie moyo waliovunjika moyo na wale wote wanaopitia changamoto mbalimbali kwa namna ya pekee tunamkabidhi kwako na tunamuombea mpendwa wetu BITOZ,mtie nguvu ,takasa dawa anazotumia takasa mahali anapolala,takasa madaktari na wote wanaomhudumia,Baba tunaomba uponyaji wake uwe wa haraka .
Tunawakabidhi yatima ,wajane,wahitaji baba watetee,wasipungukiwe.
Imarisha imani zetu ili tuweze kukitegemea wewe tu
Walinde wasafiri wote wafike salama ,nchi kavu,majini,angani
Tuma malaika wako wa yltuzunguke watuongoze tufanye kazi kwa bidii na kukupenda wewe tu
bariki kazi za mikono yetu,asante
Naikabidhi jumanne ya leo iwe ya kipekee, tembea pamoja nasi baba.
Tunaomba na kushukuru
Amen
NAWATAKIA SIKU NJEMA MUNGU AWABARIKI [emoji7] [emoji7]
haha hata 2pac anayo inaitwa hvy[emoji23] bonny n Clyde najua ni wimbo wa jay z ft Beyonce [emoji134] kumbe.....
Mornie shemelaMorning all kapuku