Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Asante mzee wa saa mpyaMshale upi sasa mdau, anyway ngoja nisaidie kuweka picha ya mshale
Ndizi Mshale
![]()
Silaha ya jadi
![]()
Saa ya Mshale
![]()
Naimani nimekuwa na msaada japo kidogo

Amen dada ubarikiweZABURI 108
1.Ee MUNGU ,Moyo wangu u thabiti,Nitaimba ,nitaimba,nitaimba Zaburi,Naam kwa utukufu wangu
2.Amka ,kinanda na kinubi Nitaamka alfajiri.
3.Ee BWANA nitakushukuru kati ya watu,Nitakuimbia Zaburi kati ya mataifa
4.Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni,Na uaminifu wako hata mawinguni.
5.Ee MUNGU utukuzwe juu ya mbingu Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako.
TUOMBE
Tunakushukuru Baba wa Mbinguni kwa kutuamsha salama,wako wengi walitamani kuiona siku ya leo hawakuweza tunakurudishia sifa na shukurani Mfalme wa Amani.
Nakushukuru kwa kukuimbia kati ya mataifa maana fadhili zako ni kubwa
Ponya wagonjwa wote BABA ,Watie moyo waliovunjika moyo na wale wote wanaopitia changamoto mbalimbali kwa namna ya pekee tunamkabidhi kwako na tunamuombea mpendwa wetu BITOZ,mtie nguvu ,takasa dawa anazotumia takasa mahali anapolala,takasa madaktari na wote wanaomhudumia,Baba tunaomba uponyaji wake uwe wa haraka .
Tunawakabidhi yatima ,wajane,wahitaji baba watetee,wasipungukiwe.
Imarisha imani zetu ili tuweze kukitegemea wewe tu
Walinde wasafiri wote wafike salama ,nchi kavu,majini,angani
Tuma malaika wako wa yltuzunguke watuongoze tufanye kazi kwa bidii na kukupenda wewe tu
bariki kazi za mikono yetu,asante
Naikabidhi jumanne ya leo iwe ya kipekee, tembea pamoja nasi baba.
Tunaomba na kushukuru
Amen
NAWATAKIA SIKU NJEMA MUNGU AWABARIKI![]()
![]()
Asante umeamkajeNawe pia dada
Amina mama Mchungaji ubarikiweZABURI 108

Blessed Hope! You are Blessed! God bless you always.ZABURI 108

Amen kaka ubarikiwe na uwe na utafutaji mwemaMmeamkaje humu ndani
Mungu awaongoze katika mihangaiko yenu ya kujitafutia mkate wa kila siku
Nimerudi JoroweUsiku mwema mtaasisi