Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Je walikuwa wanatoa huduma bure?Leo Katika Historia:
1911 - Maktaba ya New York kwa matumizi ya umma yazinduliwa.
Je walikuwa wanatoa huduma bure?Leo Katika Historia:
1911 - Maktaba ya New York kwa matumizi ya umma yazinduliwa.
Amen kaka You are Blessd too Mkuu Ipogolo Siku njema Mungu akubariki sana[emoji120]Blessed Hope! You are Blessed! God bless you always.
Wapumzike kwa amani watu 10 waliofariki kwa mvua[emoji120]
RIP dereva aliyekufa maji akimuokoa bodaboda[emoji120]
Aisee1945 - Mkuu wa Jeshi la kijerumani la Schutzstaffel( SS ) Heinrich Himmler anajiua.
Hiyo ni baada ya utawala wa Hitler kuanguka, na kamanda huyo kukamatwa.
Hakika Polisi inaweza kuwakamata 12.tunawaombea katika zoezi hili[emoji120]
Mungu aingilie kati suala la mauaji Kibiti
Tunamshukuru Mungu Fistula kupata tiba ya uhakika,imetesa watu wengi[emoji120]
Asante kwa uponyaji wa Fistula,ni mateso kwa kina mama[emoji120]
Sijajua.Je walikuwa wanatoa huduma bure?
Marahaba za uzima,ubarikiweNipo mama Shikamoo
Amen asanteAmen
Ubarikiwe Mama mchuchu uwe na siku njema
Leo Katika Historia:
1911 - Maktaba ya New York kwa matumizi ya umma yazinduliwa.
Pumzika kwa amani mtoto uliyeuawa na fisi
Shukrani mkuu Mussolin5Leo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Sawa mkuuSijajua.