Makapuku Forum

Makapuku Forum

2cca3b3a9761256915fc5681314d28c3.jpg
3a9cfd39ce3f44485b7a5047f9532b22.jpg
Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu maana anazijua vizuri akili za mashabiki wa Simba
Hii leo wameshindwa kigundua km wamejaza magarasa mengi kikosini ndio 7bu ya kukosa ubingwa badala yake wanacheza muziki wa viongozi kwamba wanaonewa na TFF na hivyo FIFA watawapa ubingwa wa mezani
.
Wamesahau kuna kipindi walikuwa na timu Kali ile ya akina Kaseja,Okwi,Pawasa,Shekhan Rashid baadaye akina Mafisango NK ambapo Yanga tulikuwa vibonde na hatukusingizia kuonewa na tukaanza kusajili majembe ya kimataifa km Kamusoko na Tambwe ambaye walimuacha wenyewe viongozi wa Simba
Hawa mashabiki wa Simba wanaboa
........
Mbumbumbu fc
Malalamiko FC
Pool table fc
Wakiwa katika ubora wao
5a006698f3f4f7fdc76f4102f1532eaf.jpg

 
ZABURI 126

1.Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni,tulikuwa kama waota ndoto.

2.Ndipo kinywa chetu kilipojaa KICHEKO,na ulimi wetu kelele za
furaha
Ndipo waliposema katika mataifa BWANA amewatendea mambo MAKUU.

3.BWANA alitutendea mambo makuu,Tulikua tukifurahi.

4.Ee BWANA ,Uwarejeze watu wetu waliofungwa,kama vijito vya kusini.

5.Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.

6 .Ingawa mtu anakwenda zake akilia azichikuapo mbegu za kupanda.

7.Hakika atarudi kwa kelele za furaha aichukuapo miganda yake.

MUNGU ALIYE HAI NA AKUPE KICHEKO TENA KATIKA LOLOTE AMBALO LIMEKUWA LIKIKUTEKA KWA MUDA SASA,AKUSHANGAZE TENA KWA MATENDO YAKE MAKUU,IWE MAGONJWA,KUTOFANIKIWA KATIKA LOLOTE,MUNGU AKUTENDENDEE MAMBO MAKUU,KWA JINA LENYE NGUVU. LA YESU KTRISTO ,AMINA
Amen, Asante kwa neno mama mchungaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom