
ZABURI 126
1.Bwana alipowarejeza mateka wa Sayuni,tulikuwa kama waota ndoto.
2.Ndipo kinywa chetu kilipojaa KICHEKO,na ulimi wetu kelele za
furaha
Ndipo waliposema katika mataifa BWANA amewatendea mambo MAKUU.
3.BWANA alitutendea mambo makuu,Tulikua tukifurahi.
4.Ee BWANA ,Uwarejeze watu wetu waliofungwa,kama vijito vya kusini.
5.Wapandao kwa machozi watavuna kwa kelele za furaha.
6 .Ingawa mtu anakwenda zake akilia azichikuapo mbegu za kupanda.
7.Hakika atarudi kwa kelele za furaha aichukuapo miganda yake.

MUNGU ALIYE HAI NA AKUPE KICHEKO TENA KATIKA LOLOTE AMBALO LIMEKUWA LIKIKUTEKA KWA MUDA SASA,AKUSHANGAZE TENA KWA MATENDO YAKE MAKUU,IWE MAGONJWA,KUTOFANIKIWA KATIKA LOLOTE,MUNGU AKUTENDENDEE MAMBO MAKUU,KWA JINA LENYE NGUVU. LA YESU KTRISTO ,AMINA